Mambo tofauti tunayokutana nayo Madereva wa malori toka enzi

H
Hadithi nzuri sana hii! Haya mtoto mzuri ebu tuambie hadithi yako inatufundisha nini?
 
Ipemba mpazi ipo bhana mkuu kuna simba sana hilo eneo..ipo njia ya mbeya sio inyonga.....tabora-ipole-kitunda hiyo njia ndio kuna ipemba mpazi...
 
Hujasema kitu kuhusu hilo Basi la SABENA je na jenyewe ilijizima? Kiufupi mwenye hiyo kampuni alijipiga risasi miaka kadhaa nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…