Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Neno shoga lina maana kuu mbili tofauti katika lugha ya Kiswahili, kulingana na muktadha unaotumika:

1. Rafiki wa Kike (Maana ya Asili)Katika Kiswahili sanifu na cha pwani, shoga maana yake ni rafiki wa karibu sana wa kike.
Neno hili hutumiwa na wanawake wanapoitana au kuzungumzia urafiki wao.Mfano: "Asha ni shoga yake Amina" (Asha ni rafiki wa kike wa Amina).

2. Mwanaume Anayevutiwa na Wanaume Wenzake (Ushoga)Katika muktadha wa kisasa na lugha ya mitaani (slang), neno hili hutumika kumrejelea mwanaume anayefanya mapenzi au kuvutiwa kimapenzi na wanaume wenzake (kwa Kiingereza: gay).
 
Hili neno Shoga ni kama limebadilishwa tu matumizi yake na kupewa tafsiri nyingine,hili neno Shoga,zamani lilitumika kumaanisha Rafiki,

Wanawake ndio walikua wakilitumia zaidi,utasikia "Huyu ni Shoga yangu" ikimaanisha kua "Huyu ni rafiki yangu"

Y B W Y B
Mamba 24 haikwepeki,
Linda mgongo wako.
 
Bora tutauzaa bastora kwa hiyo wanaume wasivutie kimapenzi ili waishi pamoja
 
Nilikuwa nasomea! Ngoja niache shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…