Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Wewe nawe acha unafiki, unachangia speed ya uzi kwa ku comment halafu unasema eti ndio nyuzi zenu pendwa?
Nimesoma comments zako karibia 20 au zaidi, yaani ukurasa mzima wa huu uzi umechangia wewe.
Huko kwenye ujasiriamali ushachangia hata comments 5?
Siyo ajabu wewe nawe ni shoga wa mafichoni unayetaka wengine wa feel guilty kwa kitu ambacho ndiyo mazoea yako.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu uzi unanifurahisha mnavyoshushuana
 
Halafu unajiita God_win??
Unajua maana yake? Kama Mungu aliichukia hii dhambi akachoma moto sodoma na gomora we nani uipende hii dhambi.
Pumba kabisa

Maana yake najua,nani kakuambia naipenda….Mungu pia hapendi wezi,wazinzi,waabuduo sanamu,wanafiq nk
 
Mbona nimeandika hapo juu na umeiquote kabisa hapa mkuu au umechagua tu kutokusoma?!

Bisexual ni mwanaume au mwanamke ambaye anashiriki mapenzi na jinsia yake lakini pia anashiriki na jinsia ya tofauti na yeye.

Mfano mwanaume ambae ameoa mke na ana familia yake ila nje ya ndoa anatembea na mwanaume mwenzake ambaye ni choko.

Au mwanamke ambaye ameolewa,ana watoto na mume wake ila nje ya ndoa yake anajihusisha kingono na wanawake wenzake ambao ni wasagaji....

I hope umeelewa.
Kuna mtu nataman asome hapa, ili akili imkae vyema.
 
Maana yake najua,nani kakuambia naipenda….Mungu pia hapendi wezi,wazinzi,waabuduo sanamu,wanafiq nk

Msipende kujihesabia haki mbele za macho ya watu omba rehema wengi naona mwajifanya mwaijua dini sana acheni kutumia maandiko vibaya means ww ni mtakatifu katika hayo makundi walio taja kwenye bible
 
Wewe nawe acha unafiki, unachangia speed ya uzi kwa ku comment halafu unasema eti ndio nyuzi zenu pendwa?
Nimesoma comments zako karibia 20 au zaidi, yaani ukurasa mzima wa huu uzi umechangia wewe.
Huko kwenye ujasiriamali ushachangia hata comments 5?
Siyo ajabu wewe nawe ni shoga wa mafichoni unayetaka wengine wa feel guilty kwa kitu ambacho ndiyo mazoea yako.
Tuliza kitenesi hicho blaza!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kaka wa DC wa sasa humjui? Afu ktk kundi lao wote ni walaji wa samadi, ila DC tyuuh Ndo sio.
Samadi [emoji2]hili nikawaza samadi ya ng'ombe ilivyo hahah daaah.

Sio mboji
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]Sasa aristote wa kuuliza? Anaemuacha mkewe ndani na kwenda uarabun kukunjwa 7, hahahah kuoa n geresha ili watu wamuone lijari, akati uwoya ni kipitio tyuuh,

Nililtaman battle lake na Dr kumbuka, si yule kibopa kawala wote, uwiiiih dunia tamuuuh. Hiii

Na yule rafiki wa uwoya anaenda nae kila mahala kumbe wana lao jambo
 
Na yule rafiki wa uwoya anaenda nae kila mahala kumbe wana lao jambo
Uwoya ndo mgongo wao, wakijifanya machawa, kumbe watu tunajua mchongo mzima, tunawa zoom tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Samadi [emoji2]hili nikawaza samadi ya ng'ombe ilivyo hahah daaah.

Sio mboji
Unavyopenda sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Siku hizi Inaitwa "blue band" chezea weyeeeeeeeh.
 
Uwoya ndo mgongo wao, wakijifanya machawa, kumbe watu tunajua mchongo mzima, tunawa zoom tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
James d katokomea wapj jamani
 
James d katokomea wapj jamani
Mbna yupo sana, siku hizi madanga hakna ndo maan show off kimya, na rafk ake wema kamuacha. Now zamu ya Aggrey kusumbua, mara yuko na Wema mara yuko na Kajala,. Mara boss uwoya,. Yaan ukiwa shoga na huna maisha ya kueleweka, unahaha sanaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] agrey tatizo tumbo jaman,hata kupunguza hataki woiiiioh.

Now tunatazama N na dimpoz wanavokwaruana,dimpo ana wivu kisa N kuwa na m1 ktk magodoro industry.uwiiiiih
 
Hapo N n nani fumbua kidogo
 
Back
Top Bottom