Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Wewe nawe acha unafiki, unachangia speed ya uzi kwa ku comment halafu unasema eti ndio nyuzi zenu pendwa?
Nimesoma comments zako karibia 20 au zaidi, yaani ukurasa mzima wa huu uzi umechangia wewe.
Huko kwenye ujasiriamali ushachangia hata comments 5?
Siyo ajabu wewe nawe ni shoga wa mafichoni unayetaka wengine wa feel guilty kwa kitu ambacho ndiyo mazoea yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu uzi unanifurahisha mnavyoshushuana