Ufisadi mtupu aisee, sijui kwa nini kuna watu tunaonaga kuteseka ni haki yetu.Unalipwa kiasi gani kwa hizi threads za chuki dhidi ya Awamu ya 6?
ESCOM ya South Africa nayo mbona Ina matatizo tu sawa na TANESCO yetu!! Sisemi kuwa kwa vile wanakatikiwa lazima na sisi tukatikiwe bali matatizo ya sekta ya umeme kwa nchi za Africa yanafanana. Angalia hata ZESCO ya Zambia
Nchi hii watu wamezoea shida wanaona ni kawaida tu maji hamna, umeme hamna, barabara mbovu...elimu ndio imeoza kabisaa aaaKiukweli hawa jamaa walaaniwe wao pamoja na vizazi vyao, naenda kuua mradi wangu wa kuku ivi ivi naona kwa sababu ya shida ya umeme
Kwahiyo before 2010 ccm ilikuwa na ushawishi bara na ilikuwa ikishinda kihalali?
Uchungu nenda labour ward utaupata. Eti uchungu wa Taifa, wewe angalia maisha yako na ya familia yako tu. Hayo ya kutetea Taifa unapoteza mudaSiku mkijua namna bora ya kumtambua kiongozi alie bora na mwenye uchungu na taifa lenu , mtakua mmepevuka
Umefikiri kabla ya kutenda au umetenda kabla ya kufikiriUchungu nenda labour ward utaupata. Eti uchungu wa Taifa, wewe angalia maisha yako na ya familia yako tu. Hayo ya kutetea Taifa unapoteza muda
Kipimo cha kwamba ccm ilikuwa na ushwishi kipindi hicho ilikuwa ni nini sasa? Nataka kujaribu kuelewa huu mtazamo wako.Historia iliwabeba wakati huo kwani bado kizazi kilichoamini kwenye CCM kilikuwepo. Ila sio baada ya hapo. Na kibaya zaidi CCM haitakaa irejee kwenye ushawishi tena. Labda itolewe madarakani kisha ijipange upya. Lakini sioni ikibaki hai iwapo itatoka madarakani.
Msipende kutetea uzembe na incompetence.Unalipwa kiasi gani kwa hizi threads za chuki dhidi ya Awamu ya 6?
ESCOM ya South Africa nayo mbona Ina matatizo tu sawa na TANESCO yetu!! Sisemi kuwa kwa vile wanakatikiwa lazima na sisi tukatikiwe bali matatizo ya sekta ya umeme kwa nchi za Africa yanafanana. Angalia hata ZESCO ya Zambia
Leta solution basi dhidi ya matatizo ya sekta hiiMsipende kutetea uzembe na incompetence.
Utaacha wewe,ila wengine wataenda na watapiga kura,kisha sijui nyinyi mnaojitambua mtaendelea kujitambua na kutambuana mpaka tena 2030 au?Hakuna mtu anayejitambua atajitokeza kupiga kura kwa muundo huu wa uchaguzi na tume hii.
Kipimo cha kwamba ccm ilikuwa na ushwishi kipindi hicho ilikuwa ni nini sasa? Nataka kujaribu kuelewa huu mtazamo wako.
Kwanza alijinasibu kurekebisha miundo mbinu iliuochakaa ya kusafirisha umeme.
Sasa hivi anadai kuwa tuna ziada ya Mw 1400 na huku mgawo wa umeme upo kila siku.
Huyu Waziri ana wafanya Watanzania ni wapuuzi.
Pole aisee labda jaribu kununua taa za solar tumia na majiko ya mkaa.Kiukweli hawa jamaa walaaniwe wao pamoja na vizazi vyao, naenda kuua mradi wangu wa kuku ivi ivi naona kwa sababu ya shida ya umeme
Mimi nipo Zanzibar mwezi mzima sijaona mgao wa umemeDaah hapa nipo gizani ninalaani balaa.
Kila siku mtaani kwangu lazima umeme ukate tu kama sio mchana ni usiku aaaah
Hiyo ziada ipo nyumbani kwake ana jenereta kubwa sn la hizo MW 1400Kwanza alijinasibu kurekebisha miundo mbinu iliuochakaa ya kusafirisha umeme.
Sasa hivi anadai kuwa tuna ziada ya Mw 1400 na huku mgawo wa umeme upo kila siku.
Huyu Waziri ana wafanya Watanzania ni wapuuzi.
Kesho yanaiba mama anaupiga mwingiPole aisee labda jaribu kununua taa za solar tumia na majiko ya mkaa.
Maza anatokea kule nguvu yote imeelekezwa Zanzibar hata teuzi nyingi ni ZanzibarMimi nipo Zanzibar mwezi mzima sijaona mgao wa umeme
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Kama kuna ziada kwanini umeme ukatwe? shame on you, mwambie mumeo tumemchoka haraka sn na kipara chakeUnalipwa kiasi gani kwa hizi threads za chuki dhidi ya Awamu ya 6?
ESCOM ya South Africa nayo mbona Ina matatizo tu sawa na TANESCO yetu!! Sisemi kuwa kwa vile wanakatikiwa lazima na sisi tukatikiwe bali matatizo ya sekta ya umeme kwa nchi za Africa yanafanana. Angalia hata ZESCO ya Zambia
Mkuu bado naona unazidi kuelezea hiyo nadharia ila bado sijaona cha kunishawishi kuona unachokieleza ndivyo kweli hali ilivyokuwa.Historia iliyokuwepo. Kumbuka nchi ilikuwa chini ya mfumo wa chama kimoja, na ilipigwa propaganda kuwa vyama vingi vitaleta vita vya kimbari kama ilivyokuwa nchi ya Rwanda. Hivyo kizazi cha kabla ya 2010 ilikuwa rahisi kuamini hizo propaganda, na hangover ya chama kimoja bado ilikuwepo.
Yeye mwenyewe alikuwa mwizi lakini alikuwa na unafuu kiasi, miaka 6 umeme wa uhakika tena bei nafuuJPM alikataa wahuni na wezi kama huyo Kipara
Katavi ni wateja wazuri sn wa CCMKatavi mpimbwe mpaka tumechoka hawa watu