Mambo ya ajabu yamelighubika taifa letu. Umeme unakatika ovyo huku Waziri mwenye dhamana anadai kuna Megawatts 14000 za ziada

Unalipwa kiasi gani kwa hizi threads za chuki dhidi ya Awamu ya 6?

ESCOM ya South Africa nayo mbona Ina matatizo tu sawa na TANESCO yetu!! Sisemi kuwa kwa vile wanakatikiwa lazima na sisi tukatikiwe bali matatizo ya sekta ya umeme kwa nchi za Africa yanafanana. Angalia hata ZESCO ya Zambia
Ufisadi mtupu aisee, sijui kwa nini kuna watu tunaonaga kuteseka ni haki yetu.
Isitoshe umeme wenyewe tunanunua hawagawi bure,
 
Kiukweli hawa jamaa walaaniwe wao pamoja na vizazi vyao, naenda kuua mradi wangu wa kuku ivi ivi naona kwa sababu ya shida ya umeme
Nchi hii watu wamezoea shida wanaona ni kawaida tu maji hamna, umeme hamna, barabara mbovu...elimu ndio imeoza kabisaa aaa
 
Kwahiyo before 2010 ccm ilikuwa na ushawishi bara na ilikuwa ikishinda kihalali?

Historia iliwabeba wakati huo kwani bado kizazi kilichoamini kwenye CCM kilikuwepo. Ila sio baada ya hapo. Na kibaya zaidi CCM haitakaa irejee kwenye ushawishi tena. Labda itolewe madarakani kisha ijipange upya. Lakini sioni ikibaki hai iwapo itatoka madarakani.
 
Siku mkijua namna bora ya kumtambua kiongozi alie bora na mwenye uchungu na taifa lenu , mtakua mmepevuka
Uchungu nenda labour ward utaupata. Eti uchungu wa Taifa, wewe angalia maisha yako na ya familia yako tu. Hayo ya kutetea Taifa unapoteza muda
 
Umefikiri kabla ya kutenda au umetenda kabla ya kufikiri
 
Historia iliwabeba wakati huo kwani bado kizazi kilichoamini kwenye CCM kilikuwepo. Ila sio baada ya hapo. Na kibaya zaidi CCM haitakaa irejee kwenye ushawishi tena. Labda itolewe madarakani kisha ijipange upya. Lakini sioni ikibaki hai iwapo itatoka madarakani.
Kipimo cha kwamba ccm ilikuwa na ushwishi kipindi hicho ilikuwa ni nini sasa? Nataka kujaribu kuelewa huu mtazamo wako.
 
Unalipwa kiasi gani kwa hizi threads za chuki dhidi ya Awamu ya 6?

ESCOM ya South Africa nayo mbona Ina matatizo tu sawa na TANESCO yetu!! Sisemi kuwa kwa vile wanakatikiwa lazima na sisi tukatikiwe bali matatizo ya sekta ya umeme kwa nchi za Africa yanafanana. Angalia hata ZESCO ya Zambia
Msipende kutetea uzembe na incompetence.
 
Hakuna mtu anayejitambua atajitokeza kupiga kura kwa muundo huu wa uchaguzi na tume hii.
Utaacha wewe,ila wengine wataenda na watapiga kura,kisha sijui nyinyi mnaojitambua mtaendelea kujitambua na kutambuana mpaka tena 2030 au?
 
Kipimo cha kwamba ccm ilikuwa na ushwishi kipindi hicho ilikuwa ni nini sasa? Nataka kujaribu kuelewa huu mtazamo wako.

Historia iliyokuwepo. Kumbuka nchi ilikuwa chini ya mfumo wa chama kimoja, na ilipigwa propaganda kuwa vyama vingi vitaleta vita vya kimbari kama ilivyokuwa nchi ya Rwanda. Hivyo kizazi cha kabla ya 2010 ilikuwa rahisi kuamini hizo propaganda, na hangover ya chama kimoja bado ilikuwepo.
 
Kwanza alijinasibu kurekebisha miundo mbinu iliuochakaa ya kusafirisha umeme.

Sasa hivi anadai kuwa tuna ziada ya Mw 1400 na huku mgawo wa umeme upo kila siku.

Huyu Waziri ana wafanya Watanzania ni wapuuzi.

Amna viongozi waropokaji tuuu mtu anaongea kwenye media kufurahisha umma
 
Kwanza alijinasibu kurekebisha miundo mbinu iliuochakaa ya kusafirisha umeme.

Sasa hivi anadai kuwa tuna ziada ya Mw 1400 na huku mgawo wa umeme upo kila siku.

Huyu Waziri ana wafanya Watanzania ni wapuuzi.
Hiyo ziada ipo nyumbani kwake ana jenereta kubwa sn la hizo MW 1400
 
Unalipwa kiasi gani kwa hizi threads za chuki dhidi ya Awamu ya 6?

ESCOM ya South Africa nayo mbona Ina matatizo tu sawa na TANESCO yetu!! Sisemi kuwa kwa vile wanakatikiwa lazima na sisi tukatikiwe bali matatizo ya sekta ya umeme kwa nchi za Africa yanafanana. Angalia hata ZESCO ya Zambia
Kama kuna ziada kwanini umeme ukatwe? shame on you, mwambie mumeo tumemchoka haraka sn na kipara chake
 
Historia iliyokuwepo. Kumbuka nchi ilikuwa chini ya mfumo wa chama kimoja, na ilipigwa propaganda kuwa vyama vingi vitaleta vita vya kimbari kama ilivyokuwa nchi ya Rwanda. Hivyo kizazi cha kabla ya 2010 ilikuwa rahisi kuamini hizo propaganda, na hangover ya chama kimoja bado ilikuwepo.
Mkuu bado naona unazidi kuelezea hiyo nadharia ila bado sijaona cha kunishawishi kuona unachokieleza ndivyo kweli hali ilivyokuwa.
 
Back
Top Bottom