khidego
Senior Member
- Dec 25, 2016
- 132
- 311
Ufisadi mtupu aisee, sijui kwa nini kuna watu tunaonaga kuteseka ni haki yetu.Unalipwa kiasi gani kwa hizi threads za chuki dhidi ya Awamu ya 6?
ESCOM ya South Africa nayo mbona Ina matatizo tu sawa na TANESCO yetu!! Sisemi kuwa kwa vile wanakatikiwa lazima na sisi tukatikiwe bali matatizo ya sekta ya umeme kwa nchi za Africa yanafanana. Angalia hata ZESCO ya Zambia
Isitoshe umeme wenyewe tunanunua hawagawi bure,