Mambo ya ajabu yamelighubika taifa letu. Umeme unakatika ovyo huku Waziri mwenye dhamana anadai kuna Megawatts 14000 za ziada

Hakuna mtu anayejitambua atajitokeza kupiga kura kwa muundo huu wa uchaguzi na tume hii.
Mkuu lakini miaka yote watu wamepiga kura na tume ya uchaguzi ikiwa kwenye muundo huu huu na kila baada ya uchaguzi kumalizika zinakuja lawama zilezile ila ukija tena uvhaguzi watu wanarudi kupiga kura, sasa iweje tena sasa ionekane kama ni ujinga kwenda kupiga kura?
 
Tazama uchaguzi wa 2020 jinsi wapiga kura walivyokuwa wachache,na watazidi kupungua. Usitegemee wataendelea kushiriki na kuishia kulalamika.

Sasa hivi viongozi walioko madarakani wanashindwa hata kuitisha mikutano maana hawana uhalali wa umma. Na wanaoweza kuitisha wanatumia pesa nyingi, na nguvu nyingine za dola kuhakikisha watu wanajaa kwenye mikutano yao. Kizazi kinazidi kubadilika boss.
 
Kwanza alijinasibu kurekebisha miundo mbinu iliuochakaa ya kusafirisha umeme.

Sasa hivi anadai kuwa tuna ziada ya Mw 1400 na huku mgawo wa umeme upo kila siku.

Huyu Waziri ana wafanya Watanzania ni wapuuzi.
Namlaumu jk kwa urafiki wake na mzee makamba. Mzee makamba kwa tabia yake kuombea watu wake vyeo ndio anatulazimisha huyu mwanaye huku weledi hana. Januari anajirate juu huku hana lolote. Tumeondolewa Phd holder Dr Kalemani bure tu.
Mama 2025 tunasubiri kukupumzisha.
 
Tazama uchaguzi wa 2020 jinsi wapiga kura walivyokuwa wachache,na watazidi kupungua. Usitegemee wataendelea kushiriki na kuishia kulalamika.

Sasa hivi viongozi walioko madarakani wanashindwa hata kuitisha mikutano maana hawana uhalali wa umma. Na wanaoweza kuitisha wanatumia pesa nyingi, na nguvu nyingine za dola kuhakikisha watu wanajaa kwenye mikutano yao. Kizazi kinazidi kubadilika boss.
Mabadiliko ya kizazi yanapimwa kwa uchache wa wapiga kura tu mkuu? Nauliza hivyo kwa sababu serikali inafanya ujinga mwingi bila hofu sasa sioni athari ya mabadiliko ya hiki kizazi kwenye ujinga wa kuburuzwa na hii serikali ya chama cha mapinduzi.
 
Mabadiliko huwa na viashiria mbalimbali, kimoja ni hicho cha wafu kupuuza uchaguzi. Serekali lazima ijisahau maana inajua wananchi wameshaingia woga, lakini hiyo sio sifa ya kudumu.
 
Unalipwa kiasi gani kwa hizi threads za chuki dhidi ya Awamu ya 6?

ESCOM ya South Africa nayo mbona Ina matatizo tu sawa na TANESCO yetu!! Sisemi kuwa kwa vile wanakatikiwa lazima na sisi tukatikiwe bali matatizo ya sekta ya umeme kwa nchi za Africa yanafanana. Angalia hata ZESCO ya Zambia
Huyo mjinga anajifanya pumzi ya yule dhalim iko kifuani mwake. Amejawa na chuki kama za yule Mhutu.
 
Unalipwa kiasi gani kwa hizi threads za chuki dhidi ya Awamu ya 6?

ESCOM ya South Africa nayo mbona Ina matatizo tu sawa na TANESCO yetu!! Sisemi kuwa kwa vile wanakatikiwa lazima na sisi tukatikiwe bali matatizo ya sekta ya umeme kwa nchi za Africa yanafanana. Angalia hata ZESCO ya Zambia
Mkuu, wakati wa utawala wa Makaburu hakukuwahi kuwa na shida ya umeme kule South, baada ya Waafrika kuingia madarakani umeme umekuwa tatizo.

Sijui sisi watu weusi tuna shida gani, hatufikiri sawasawa, akitokea kiongozi mwenye kufikiri vizuri itafanyika kila hila, kutoka ndani na nje ya nchi ili atoke!

Umeikumbusha kauli ya Nyani Ngabu, "Miafrika ndivyo tulivyo".

Vv
 
Mabadiliko huwa na viashiria mbalimbali, kimoja ni hicho cha wafu kupuuza uchaguzi. Serekali lazima ijisahau maana inajua wananchi wameshaingia woga, lakini hiyo sio sifa ya kudumu.
Kwahiyo sababu ya watu kupuuza uchaguzi ni ipi? Mfano inajulikana kwamba iwe iwavyo matokeo ya uchaguzi kwa nafasi ya urais lazima iwe kwa ccm hayo ni matokeo ambayo hayabadiliki katika miaka yote hii ambayo watu wamekuwa wakienda kupiga kura na hali hiyo ikafanya wengine kuacha kushiriki zoezi la kupika kura kwa muda mrefu, je hiyo ndio sababu ya watu kupuuza uchaguzi kwa maana wamegundua sasa kuwa walikuwa wanapoteza muda?
 
Kuanzia uchaguzi wa 2010 kizazi kilikuwa kimebadilika, hivyo uhakika wa CCM kuendelea kushinda kihalali cheo cha urais uliondoka rasmi, ikabidi uchaguzi ule mbinu chafu zianze kutumika. Uchaguzi wa 2015 hali ikawa mbaya zaidi kwa CCM kwenye nafasi ya urais. Uchaguzi wa 2020 Magufuli akaamua kuharibu kabisa uchaguzi. Na ushahidi wa hayo upo,na iko siku utakaa wazi peupe.

Unapoanza kuona matokeo ya uchaguzi yanaleta malalamiko ya wazi kila mara, huku wanaofaidika na uchafu huo hawataki ubadilike, hapo ujue chama hicho kinaishi nje ya kizazi chake. Na kwasababu sasa box la kura linatoa matokeo yasiyo sahihi, ni wazi watu watalipuuza, huku wakitafuta njia mbadala, na machafuko ndio itakuwa njia sahihi ya mabadiliko hayo. Tunza hii post.
 
Ila mkuu toka enzi za Lipumba huko lawama kwa ccm kutumia mbinu chafu na kupata ushindi usio halali zilikuwepo lawama hizo, hivyo si suala lililoanza 2010 au 2015. Hata hivyo ukiacha hayo ya uchaguzi, serikali ya ccm inafanya madudu mengi na sasa yamezidi ila hatuoni hiyo athari ya mabadiliko au hayo mabadiliko athari zake zipo kwenye kupuuza uchaguzi tu kwanza?
 
Upinzani kwa CCM kabla ya 2010 ulikuwa zaidi Zanzibar kutokana na sababu za historia za wakazi wa visiwa. Lipumba hajawahi kupata ushawishi mkubwa kwa huku Bara. Nguvu ya ccm na maamuzi makubwa ya CCM 95% yako huku bara, huko Zanzibar wanafuata maagizo tu toka huku. Ifahamike unaweza kuwa rais wa nchi hii bila kupata kura, diwani au hata mbunge mmoja huko Zanzibar.

Ukiacha utawala wa mabavu wa Magufuli uliokuja kuzuia kiu ya mabadiliko, mabadiliko yalikuwa dhahiri. Kwasasa inakosekana catalyst tu ya kurejesha ari ile. Ifahamike hilo ni suala la muda. Kususia kupiga kura ni dalili kuwa watu wameichoka ccm, ni suala la muda tu.
 
Kwanza alijinasibu kurekebisha miundo mbinu iliuochakaa ya kusafirisha umeme.

Sasa hivi anadai kuwa tuna ziada ya Mw 1400 na huku mgawo wa umeme upo kila siku.

Huyu Waziri ana wafanya Watanzania ni wapuuzi.
Kama ni kweli waziri wa nishati alisema hivyo basi itakuwa ni dhahili kwamba Namba (hisabati) na Makamba ni vitu viwili visivyochanganyikana. Ni kama maji na mafuta au CCM na CDM. Kule Geita kulijitokeza hivyo hivyo alipotoa takwimu za utekelezaji wa mradi wa umeme vijijini.

Yaani waziri hajui kwamba uwezo wa mitambo yetu yote ya kufua umeme (total installed capacity) ni 1650 MW, sasa kwa miujiza baada ya matumizi tunabakiza ziada ya 1400 hadi 14000 MW lakini mgawo wa umeme unakuwa mkali zaidi kwa sababu ya ukame. Namba anazisoma kama kasuku tu, hazipandi kichwani kwake hata kidogo.

Hii wizara inahitaji mtu anayeweza kuzisoma na kuzielewa namba, vinginevyo tutapigwa sana na wasomi wa namba wa wizara hii hususani wahandisi na wahasibu wa wizara.
 
Upinzani kwa CCM kabla ya 2010 ulikuwa zaidi Zanzibar kutokana na sababu za historia za wakazi wa visiwa. Lipumba hajawahi kupata ushawishi mkubwa kwa huku Bara. Nguvu ya ccm na maamuzi makubwa ya CCM 95% yako huku bara, huko Zanzibar wanafuata maagizo tu toka huku. Ifahamike unaweza kuwa rais wa nchi hii bila kupata kura, diwani au hata mbunge mmoja huko Zanzibar.

Ukiacha utawala wa mabavu wa Magufuli uliokuja kuzuia kiu ya mabadiliko, mabadiliko yalikuwa dhahiri. Kwasasa inakosekana catalyst tu ya kurejesha ari ile. Ifahamike hilo ni suala la muda. Kususia kupiga kura ni dalili kuwa watu wameichoka ccm, ni suala la muda tu.
Ukiwa na maana cuf haikuwahi kuwa na ushawishi huku bara kwamba ccm imekuja kupata challange huku bara ni kuanzia mwaka 2010 na Chadema?
 
Nguvu kubwa ya CUF ilikuwa Znz na sio huku Bara.
 
Rais wa Watanzania maskini hayupo. Hapo tutaendelea tu kushuhudia umeme ukikatwa kila siku.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Daah hapa nipo gizani ninalaani balaa.
Kila siku mtaani kwangu lazima umeme ukate tu kama sio mchana ni usiku aaaah
Kiukweli hawa jamaa walaaniwe wao pamoja na vizazi vyao, naenda kuua mradi wangu wa kuku ivi ivi naona kwa sababu ya shida ya umeme
 
Back
Top Bottom