Mambo ya kuzingatia katika safari za maisha yako hususani kwa sisi vijana

Umepata vihela kidogo ushaanza kukodi bajaji eti daladala sio level zakoπŸ˜…
 
Ukianza kula chapati 3 na supu ujue ushatoboa kimaisha
kwa maisha ya kawaida hapa bongo hususani kwenye miji midogo...kwa mtu anaeingiza kipato cha kuanzia million 1 kwa mwezi huyo yupo kwenye level nzuri ya maisha
hapo ameshajenga na ana usafiri
 
kwa maisha ya kawaida hapa bongo hususani kwenye miji midogo...kwa mtu anaeingiza kipato cha kuanzia million 1 kwa mwezi huyo yupo kwenye level nzuri ya maisha
hapo ameshajenga na ana usafiri
Bila shaka na Estate kadhaa
 
7
 
πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…