Number ni 26
JF-Expert Member
- Apr 3, 2019
- 1,573
- 3,088
Na wewe unamuiga kaka ako mzee wa cc Smart911Asante kwa taarifa kiongozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe unamuiga kaka ako mzee wa cc Smart911Asante kwa taarifa kiongozi
Sawasawa 👊👊Yes mafanikio ni siri ndomana mambo yako hupaswi kuweka wazi kwa kila mtu hasa mipangi ya maendeleo
😂😂😂NimechekaNdiyo maana watu wanatembea mishipa kichwani imewasimama na macho kuwa mekunduuuu!Kumbe ni ubebaji wa siri!
Sawa asanteSukari ikizidi mwilini inapelekea mwili kua hatarini kupata kisukari,presha na matatizo ya uzazi pia
Masimango🤣🤣🤣Kuna watu unakuta amepakua wali sahani nzima na anaumaliza wote ..hapo ni mchana na asubuh amekula chakula kingi pia
Ndiyo maana watu wanatembea mishipa kichwani imewasimama na macho kuwa mekunduuuu!Kumbe ni ubebaji wa siri!
Tuna vijana wa ajabu sana nchi hiiIla watu tunatofautiana sana yani mtu anawaza akutane na elon musk
Ukianza kula chapati 3 na supu ujue ushatoboa kimaishaKupata hela ni kua na sh ngap 😅
Kwa sasa hali ikoje maana ulikua Boss kwa pesa za mzee wako?hahaha chief,,,mara ya mwisho kula chapati tatu nilikua shule ya msingi nilikua naishi na wazazi.
kwa maisha ya kawaida hapa bongo hususani kwenye miji midogo...kwa mtu anaeingiza kipato cha kuanzia million 1 kwa mwezi huyo yupo kwenye level nzuri ya maishaUkianza kula chapati 3 na supu ujue ushatoboa kimaisha
Bila shaka na Estate kadhaakwa maisha ya kawaida hapa bongo hususani kwenye miji midogo...kwa mtu anaeingiza kipato cha kuanzia million 1 kwa mwezi huyo yupo kwenye level nzuri ya maisha
hapo ameshajenga na ana usafiri
Na ndio hivyo mkuu endelea kupambana ipo siku utakula kuku nusu kam chai tuchapati 3 siwezi zimaliza hata kama nazimudu kuzinunua
kwa sasa npo najitafuta mambo bado hayajawa mazuri
7Hali yako ya kiafya.
1. Unywaji wa pombe kupitiliza hasa hiz pombe zisizo na kiwango na za bei rahisi.
2. Ngono zembe na magonjwa ya zinaa.
3 .ulaji wa ovyo hasa wa mavyakula ya wanga na nyama nyekundu kupitiliza.
4. Kujitwika stress hasa za mapenzi na za kujilingalisha na waliokuzid kiuchumi.
5 . Kujali mda na kuwa mwaminifu kwako na kwa wengine.
6 . Kuheshimu ushauri mzuri kuhusu mienendo yako mibovu hasa kwa kutoka kwa wazaz wako na jamii iliyokuzunguka.
7 . Kuhonga mwanamke asie mke wako huku ukijifanya una hudumia wakati hauna mzunguko wa faida ya laki tano kwa siku , hii ni yakuacha haraka sna.
8.kuongeza maarifa kwa kujisomea na hata kwa tembelea maeneo mbalimbali ya hii dunia ili kujifunza .
9. Kuacha kujifanya unajua siasa na kujifanya unaandamna ili kuisaidia tanzania wakati taifa linatatizo kubwa la kimaadili kwanzia ngazi ya familia.
🙏🙏Hali yako ya kiafya.