Mambo ya kuzingatia katika safari za maisha yako hususani kwa sisi vijana

Ukianza kula chapati 3 na supu ujue ushatoboa kimaisha
kwa maisha ya kawaida hapa bongo hususani kwenye miji midogo...kwa mtu anaeingiza kipato cha kuanzia million 1 kwa mwezi huyo yupo kwenye level nzuri ya maisha
hapo ameshajenga na ana usafiri
 
Bila shaka na Estate kadhaa
 
Hali yako ya kiafya.
1. Unywaji wa pombe kupitiliza hasa hiz pombe zisizo na kiwango na za bei rahisi.

2. Ngono zembe na magonjwa ya zinaa.

3 .ulaji wa ovyo hasa wa mavyakula ya wanga na nyama nyekundu kupitiliza.

4. Kujitwika stress hasa za mapenzi na za kujilingalisha na waliokuzid kiuchumi.

5 . Kujali mda na kuwa mwaminifu kwako na kwa wengine.

6 . Kuheshimu ushauri mzuri kuhusu mienendo yako mibovu hasa kwa kutoka kwa wazaz wako na jamii iliyokuzunguka.

7 . Kuhonga mwanamke asie mke wako huku ukijifanya una hudumia wakati hauna mzunguko wa faida ya laki tano kwa siku , hii ni yakuacha haraka sna.

8.kuongeza maarifa kwa kujisomea na hata kwa tembelea maeneo mbalimbali ya hii dunia ili kujifunza .

9. Kuacha kujifanya unajua siasa na kujifanya unaandamna ili kuisaidia tanzania wakati taifa linatatizo kubwa la kimaadili kwanzia ngazi ya familia.
7
 
🙏🙏
 
Back
Top Bottom