Mambo ya Ndoa: Mkiwa na Amani inakuwa raha sana kwa kweli, Ishu ni kui-maintain hiyo Amani

ukiijua na kufahamu ladha ya kimwili na kiroho ya mwenza wako, kamwe hutachelewa kurudi nyumbani.

ukijichanganya tu kumkaribisha paroko, mchungaji, nabii au mtume kwenye ndoa yako,

my friends, ladies and gentlemen,
that will mark the beginning of the end of peace and love within your marriage 🐒
 
Mnaweza kuwa kwenye peak ya furaha ila ukajikuta umeulizwa swali la kijinga tu na majibu yako yakaharibu kila kitu...

Sijui wanawake wengine hawajiamini au vipi.
😂😂😂
Naona hapa umenisema, juzi tumetoka kupata dinner vizuri tu and we were so happy, tupo njiani tunarudi, kuna swali nikauliza kuhusu 'past' yake, nikajibiwa jibu ambalo sikutegemea, nikanuna..!!

sasa baadaye nakaa nafikiria kwanini hata niliuliza ule ujinga ukaharibu dinner date yetu, sikuwa na majibu..

'kazi ya mwanamke ni kukutuliza ukiwa umevurugwa, na kukuvuruga ukiwa umetulia'..! Ahsante..!
 
Aisee nyie viumbe sijui huwa mnataka nini kwa kweli.

Hiyo kazi yakutuvuruga ni kama ya asili kabisa.
 
Uko sahihi, last time ilidumu kama miezi 2 bila mnuno Tena Ile siku nasema tumejitahidi kesho yake shida ikaanza mpka Leo tunaenda wiki ya 3
Aisee!! Nyie amani inapotea kwa muda mrefu sana.
 
Yeah! Sisi tulijiwekea misingi ya kusolve matatizo yetu wenyewe with no interaction ya mtu yeyote! Inachukua muda lakini ina work sana.

Kuna siku nilipiga tukio matata sana, akashindwa kabisa kuvumilia akamwambia Mama yangu! 😃😃
 
hiyo ndiyo ndo sasa, unataka ukae bila minuno😃,, hulka ya kike minuno lazima,, hapa nlipo ameshanuna kwa nini nimenyoa (zivu) 👈 kinyume chake,, na wakati yeye huninyoa😃,,

sasa hapo we umeamua kumsaidia baada ya kuona tight,

kwa hiyo muhimu sisi wanaume kutokununa, tuendelee kuwabembeleza vpenz vyetu.
 
Ulee wanao ingali unanguvu bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…