Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Wa Ukraine 🇺🇦 wanapigwa huko hadi wanakuja kuomba msaada kwa Wasambaa.Sasa hivi mawaziri wa EU (Umoja wa Ulaya) na hata maofisa wa Marekani na Uingereza, wanazunguka Afrika na Asia nzima ili mataifa ya Magharibi na NATO wapate sapoti.
Nchi za magharibi wanasahau mchango mkubwa wa Urusi vita ya Ukombozi kusini mwa Afrika.
Vita ya Ukraine na Urusi haituhusu waafrika, ni vita ya kwao Ulaya
Kiukweli tunawahurumia watu wa Ukraine kwa kuingizwa mkenge na nchi za magharibi.
Tanzania inabidi tuweke msimamo unaoeleweka, tunawahurumia watu wa Ukraine lakini vita hivyo havituhusu.
Mbona tulisimama na Wapalestina walipo garagazwa na Wayahudi, kwani Wapalestina wanatuhusu?!!!Sasa hivi mawaziri wa EU (Umoja wa Ulaya) na hata maofisa wa Marekani na Uingereza, wanazunguka Afrika na Asia nzima ili mataifa ya Magharibi na NATO wapate sapoti.
Nchi za magharibi wanasahau mchango mkubwa wa Urusi vita ya Ukombozi kusini mwa Afrika.
Vita ya Ukraine na Urusi haituhusu waafrika, ni vita ya kwao Ulaya
Kiukweli tunawahurumia watu wa Ukraine kwa kuingizwa mkenge na nchi za magharibi.
Tanzania inabidi tuweke msimamo unaoeleweka, tunawahurumia watu wa Ukraine lakini vita hivyo havituhusu.
Mrusi hasaidii chochote.. Bora Eu na USAMrusi anatusaidia nini kwenye sekta za Afya, Elimu, Kilimo, Ustawi wa jamii au hata Technologia?
We go with someone who cares about Africa..at least.
.
Ushaambiwa urusi alitusaidia wakati wa ukombozi, kama sio urusi bibi yako angeendelea kuchapwa bakora na wakoloni/mabeberu.Mrusi anatusaidia nini kwenye sekta za Afya, Elimu, Kilimo, Ustawi wa jamii au hata Technologia?
We go with someone who cares about Africa..at least.
.
Wewe inaelekea hujui kabisa hata chanzo cha vita hivyo.Tunasimama na Ukraine kama tulivyosimama na Waafrika weusi dhidi ya makaburu
Vitoto vya juzi havielewi hilo!Ushaambiwa urusi alitusaidia wakati wa ukombozi, kama sio urusi bibi yako angeendelea kuchapwa bakora na wakoloni/mabeberu.
Uvamizi wa Rusia nchini Ukraine hauna tofauti na uvamizi wa Nduli Iddi Amin kule Kagera mwaka 1978
Alitusaidia nini?Mrusi hasaidii chochote.. Bora Eu na USA
Unasaidiwa ama unamegewa kifungu kiduchu cha faida ya rasilimali zako wanazokunyonya?!Mrusi anatusaidia nini kwenye sekta za Afya, Elimu, Kilimo, Ustawi wa jamii au hata Technologia?
We go with someone who cares about Africa..at least.
.
Ushaambiwa urusi alitusaidia wakati wa ukombozi, kama sio urusi bibi yako angeendelea kuchapwa bakora na wakoloni/mabeberu.
Ukombozi gani? Tanzania lini ilipigania uhuru kwa damu? acha fix zako babu ushakuwa mtu mzima ?Ushaambiwa urusi alitusaidia wakati wa ukombozi, kama sio urusi bibi yako angeendelea kuchapwa bakora na wakoloni/mabeberu.