Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Sasa hivi mawaziri wa EU (Umoja wa Ulaya) na hata maofisa wa Marekani na Uingereza, wanazunguka Afrika na Asia nzima ili mataifa ya Magharibi na NATO wapate sapoti.
Nchi za magharibi wanasahau mchango mkubwa wa Urusi vita ya Ukombozi kusini mwa Afrika.
Vita ya Ukraine na Urusi haituhusu waafrika, ni vita ya kwao Ulaya
Kiukweli tunawahurumia watu wa Ukraine kwa kuingizwa mkenge na nchi za magharibi.
Tanzania inabidi tuweke msimamo unaoeleweka, tunawahurumia watu wa Ukraine lakini vita hivyo havituhusu.
India imekataa upuuzi wa kulazimishwa kuiunga mkono NATO katika vita ambayo wamesema haiwahusu.