Mambo ya Nje: Vita ya Ukraine isituingize mkenge

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Sasa hivi mawaziri wa EU (Umoja wa Ulaya) na hata maofisa wa Marekani na Uingereza, wanazunguka Afrika na Asia nzima ili mataifa ya Magharibi na NATO wapate sapoti.

Nchi za magharibi wanasahau mchango mkubwa wa Urusi vita ya Ukombozi kusini mwa Afrika.

Vita ya Ukraine na Urusi haituhusu waafrika, ni vita ya kwao Ulaya
Kiukweli tunawahurumia watu wa Ukraine kwa kuingizwa mkenge na nchi za magharibi.

Tanzania inabidi tuweke msimamo unaoeleweka, tunawahurumia watu wa Ukraine lakini vita hivyo havituhusu.
India imekataa upuuzi wa kulazimishwa kuiunga mkono NATO katika vita ambayo wamesema haiwahusu.
 
Sasa hivi mawaziri wa EU (Umoja wa Ulaya) na hata maofisa wa Marekani na Uingereza, wanazunguka Afrika na Asia nzima ili mataifa ya Magharibi na NATO wapate sapoti.

Nchi za magharibi wanasahau mchango mkubwa wa Urusi vita ya Ukombozi kusini mwa Afrika.

Vita ya Ukraine na Urusi haituhusu waafrika, ni vita ya kwao Ulaya
Kiukweli tunawahurumia watu wa Ukraine kwa kuingizwa mkenge na nchi za magharibi.

Tanzania inabidi tuweke msimamo unaoeleweka, tunawahurumia watu wa Ukraine lakini vita hivyo havituhusu.
Wa Ukraine 🇺🇦 wanapigwa huko hadi wanakuja kuomba msaada kwa Wasambaa.
Jamani hiyo vita haituhusu, tujiweke nayo mbali kama ambavyo tunajiweka mbali na janaba
 
NATO wanataka mchango gani kwa Tanzania? Pengine uzoefu wetu tulivyompiga nduli iddiamini dada wa uganda. Inaonyesha kwenye vita ile tulitumia mbinu za asili hasa baada ya kumsikia Mzee Luteni Makamba akitupa uzoefu wa uwanja wa mapambano. Eti waliambiwa baada ya mvua kunyesha wasingeshambuliwa. Mambo yakawaendea ndivo sivyo.
 
Sasa hivi mawaziri wa EU (Umoja wa Ulaya) na hata maofisa wa Marekani na Uingereza, wanazunguka Afrika na Asia nzima ili mataifa ya Magharibi na NATO wapate sapoti.

Nchi za magharibi wanasahau mchango mkubwa wa Urusi vita ya Ukombozi kusini mwa Afrika.

Vita ya Ukraine na Urusi haituhusu waafrika, ni vita ya kwao Ulaya
Kiukweli tunawahurumia watu wa Ukraine kwa kuingizwa mkenge na nchi za magharibi.

Tanzania inabidi tuweke msimamo unaoeleweka, tunawahurumia watu wa Ukraine lakini vita hivyo havituhusu.
Mbona tulisimama na Wapalestina walipo garagazwa na Wayahudi, kwani Wapalestina wanatuhusu?!!!
 
Tunasimama na Ukraine kama tulivyosimama na Waafrika weusi dhidi ya makaburu
Wewe inaelekea hujui kabisa hata chanzo cha vita hivyo.

Na hujui kuwa Ukraine na Warusi ni ndugu wenye asili moja.

Na hujui kuwa kati ya ndugu hawa wawili, Ukraine wamerubuniwa wajiunge NATO ili wampige ndugu yake Ukraine, Mrusi.

Na hujui kwamba Urusi anampiga mdogo wake Ukraine ili kumkomoa tu na kuikomoa NATO.

SASA mtoa posti wewe ndugu yako mweupe hapo nani?
 
Back
Top Bottom