Mamilioni ya pesa anayotaka Jackline Mengi kwa ajili ya malezi ya watoto wake haya hapa!

Kama baba yao yupo yes. Sasa anawaomba watu ambao si wazazi wa hao watoto. Yeye kama mzazi ana uwezo wa kutoa hizo pesa? Tuanzie hapo kwanza.
Una point. Mengi alishafariki na ndiye alikuwa mtafutaji. Kuendelea kudai matumizi ya aina ile ile wkati mtafutaji hayupo tena ni ujuha.
 
Why mnafanya conclusion kwa tukio moja au mawili au hata kumi? Tatizo la hii familia limetokana na marehemu kushindwa kuweka mambo sawa kabla hajafariki.
 
Washua mkisha zeeka msioe hawa wanawake wachanga hususani hawa wanao angalia panapo fuka moshi mtasababisha uzao wenu uteseke na kusumbuana na kurogana saana. Mkisha zeeka wazee wetu tafuteni wa bibi wenzenu.
Kweli wewe huoni mbali hata kidogo kwani hujaona wala hujui chanzo cha tatizo. Hao wazee watakaoolewa hawapendi fedha? Hawapendi kurithi mali? Tatizo siyo kuoa ''mchanga'' au mzee bali tatizo ni Mengi mwenyewe kushindwa kuweka mambo vizuri kabla hajafariki.
 
Kwahiyo mtu hasidai haki yake aogope kisa atauwawa
 
Yaani mtu kasota kupata mafanikio, unataka umpangie totoz ya kuwa nayo....eti akachukue kikongwe, hujawaelewa wanaume mama hasa ambao ni matajiri, ni sawasawa una kisu kikali halafu ukate nyama mbovu.
Akili mbovu za kibongo-bongo ndiyo zinawatuma waseme hivyo. Mimi nimewaulize hata akichukuwa kikongwe, hiyo kikongwe hataki fedha na mali? Mimi nadhani wengi wanatoa maoni kwa kuongozwa na wivu. Unajua mtu unapokuwa huwana kitu basi utataka wengine nao wateseke kama wewe ili upate nafuu.
 
Kwa wahindi na waarabu husikii nini? Naona unatania wewe.
 
Hata sijasoma hayo melezo Ngachoka hiso pesa zote hiso ngachokaa.
 
Kifo hakibishi hodi, wakati una afya unajifariji kuwa bado Nina pesa na nguvu kujisahau kunakuwa kwingi, Kuna stage ukifikia unaweka Mambo sawa kabisa ili ukiondoka umeacha Mambo mazuri, mali zinatafutwa kwaajili ya ustawi wa familia hili linajulikana lakini Hali ya hewa inabidi iwe nzuri pale ukiondoka...bint ana watu nyuma yake, hivi ndivyo siku zote inavyokuwa Kama Kuna mianya imeachwa baada ya marehemu kuondoka,hapa ndipo wahuni wanapopenyeza ajenda zao,binti huyu si mjinga anajua nguvu aliyonayo Sasa hivi
 
Tumrudishe katika hali yakr kabla ya ndoa na Mengi.

Matumizi yake yalikuwaje??

This is absurd.
 
Angenyoshwaje ? Ebu toa ufafanuzi
 
Pesa anapewa Jack kwa niaba ya watoto.
Watoto walizoea good time toka kwa baba yao wacha wale raha.
 
Sawa ila kwani sheria inasemaje.. ? Kuhusu hili.? Mm naweza kuwa labda sioni mbali ila nasimamia ninachojua wewe unaeona mbali mbona hutuelezei huo umbali unaosemea.?
 
Mbona kuna ndoa nyingi za vijana zenye ugomvi wa mirathi? Usiwe kama yule kipofu aliyepata uwezo wa kuona kwa sekunde moja, akaona mwezi. Bada ya kurudi katika hali ya upofu akawa kila akimbiwa kitu chenye sifa fulani huwa anafananisha na mwezi.
Tunongelee hili la kwenye huu uzi. Pesa wachume wengine uje kupanga wewe .? How come
 
Nakataa mkuu, mfano kwa hii kesi mwenye kosa muoaji, ndugu au muolewaji?
Muoaji ba muolewaji anaweka tamaa kubwa. Ya kutaka mpaka jasho lile ambalo yeye haja lichuma. Alikuta pesa za watu hivyo asitake zote atake kilicho halali yake
 
Kiufupi huyu kahaba alitakiwa amshitaki marehemu kwa kufariki na kuacha kumhudumia kama alipokuwa hai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…