Kifo hakibishi hodi, wakati una afya unajifariji kuwa bado Nina pesa na nguvu kujisahau kunakuwa kwingi, Kuna stage ukifikia unaweka Mambo sawa kabisa ili ukiondoka umeacha Mambo mazuri, mali zinatafutwa kwaajili ya ustawi wa familia hili linajulikana lakini Hali ya hewa inabidi iwe nzuri pale ukiondoka...bint ana watu nyuma yake, hivi ndivyo siku zote inavyokuwa Kama Kuna mianya imeachwa baada ya marehemu kuondoka,hapa ndipo wahuni wanapopenyeza ajenda zao,binti huyu si mjinga anajua nguvu aliyonayo Sasa hivi