Mamlaka husika zimzuie Rais Samia: Nchi yetu inaelekea wapi?

Tunaanzia wapi mkuu

1. Pa kuanzia ni kupigania demokrasia vyamani.

2. TLS wameonyesha njia na kwa hakika wako vizuri kuliko wakati wowote.

3. Wengine walioonyesha njia ni kule ngorongoro.

Kumtegemea Awadh kumzuia chura kiziwi kwenye lolote wewe unakuona je ndugu?
 
Hata huu uoga wa Watanganyika amesababisha yeye,kiufupi Nyerere alikuwa mroho wa Madaraka.
 
Kun wajinga wengi ukiwambia haya hawakuelewi maana kwenye vitabu mashuleni huko wimbo ni nyerere baba wa taifa kafanya mambo ya kizalendo...kumbe ni utapeli tu ametufanyia watanganyika.
 
Kosa kubwa zaidi alilofanya Mw. Nyerere ni ku-adopt Sera na Itikadi ya Ujamaa/Ukomunisti kutoka Urusi na China na kuifanya kuwa ndio Sera ya Taifa katika nchi hii ya Tanzania.

Hilo ndio lilikuwa KABURI LA DEMOKRASIA, FIKRA HURU na MAENDELEO nchini Tanzania.
 
Hata DP World mlisema hivyo hivyo,Kwa hiyo nani anamiliki hayo maeneo? 👇👇

View: https://twitter.com/Mwanahalisitz/status/1825872210612945347?t=917h-UYDVo75MVQBoDviTw&s=19
 
Hizo mamlaka zenyewe ziko compromised.zitawezaje?
 
Hizo mamlaka zenyewe ziko compromised.zitawezaje?
 
Wananchi wa Tz kamwe hawataweza kupata utulivu wa mwili na akili hadi hapo wao wenyewe kwa wingi wao watakapoamua kujitungia Katiba yao itakayotokana na fikra na mawazo yao wao wenyewe.
Hili haliwezekani kama sisiemu bado ipo.
Walizuia Rasimu ya Katiba ya Warioba ambayo angalau ilikuwa inaleta mwanga maana ilisheheni maoni na matakwa ya umma
 
Mama anaupiga mwingi, mpk unamwagika! hivi Simba na yanga wanacheza lini eti!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…