Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Hapa kijijini kwetu,mchicha tunauita CD4.Asubuhi tunapata chai kwa CD4.Jilimie mchicha utaongeza damu na familia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa kijijini kwetu,mchicha tunauita CD4.Asubuhi tunapata chai kwa CD4.Jilimie mchicha utaongeza damu na familia
Tunaanzia wapi mkuu
Hata huu uoga wa Watanganyika amesababisha yeye,kiufupi Nyerere alikuwa mroho wa Madaraka.1. Nyerere alijua anatuachia katiba mbovu lakini bado akakubali tu kuiacha wakati alikuwa na uwezo wa kusababisha ibadilishwe.
2. Wakati vyama vingi vinaanzishwa Nyerere alijua ccm wamejimilikisha maeneo ya umma na majengo yaliyojengwa na Watz wote bila kujali vyama lakini bado aliona sawa na kuwaacha ccm kupora mali za umma bila kuchukuliwa hatua
3. Muungano tulionao niwa kwake Nyerere na Karume. Haukuwahi kuridhiwa na wananchi. Nyerere pamoja na kujua kuwa Tanganyika imepoteza kila kitu aliacha tu huu muungano uendelee kuwepo ili malengo yake ya kisiasa yatimie
Nyerere hawezi kukwepa hizi lawama ndiyo maana Lissu anamlaumu
Kun wajinga wengi ukiwambia haya hawakuelewi maana kwenye vitabu mashuleni huko wimbo ni nyerere baba wa taifa kafanya mambo ya kizalendo...kumbe ni utapeli tu ametufanyia watanganyika.1. Nyerere alijua anatuachia katiba mbovu lakini bado akakubali tu kuiacha wakati alikuwa na uwezo wa kusababisha ibadilishwe.
2. Wakati vyama vingi vinaanzishwa Nyerere alijua ccm wamejimilikisha maeneo ya umma na majengo yaliyojengwa na Watz wote bila kujali vyama lakini bado aliona sawa na kuwaacha ccm kupora mali za umma bila kuchukuliwa hatua
3. Muungano tulionao niwa kwake Nyerere na Karume. Haukuwahi kuridhiwa na wananchi. Nyerere pamoja na kujua kuwa Tanganyika imepoteza kila kitu aliacha tu huu muungano uendelee kuwepo ili malengo yake ya kisiasa yatimie
Nyerere hawezi kukwepa hizi lawama ndiyo maana Lissu anamlaumu
Hata huu uoga wa Watanganyika amesababisha yeye,kiufupi Nyerere alikuwa mroho wa Madaraka.
Kosa kubwa zaidi alilofanya Mw. Nyerere ni ku-adopt Sera na Itikadi ya Ujamaa/Ukomunisti kutoka Urusi na China na kuifanya kuwa ndio Sera ya Taifa katika nchi hii ya Tanzania.Kun wajinga wengi ukiwambia haya hawakuelewi maana kwenye vitabu mashuleni huko wimbo ni nyerere baba wa taifa kafanya mambo ya kizalendo...kumbe ni utapeli tu ametufanyia watanganyika.
Hata DP World mlisema hivyo hivyo,Kwa hiyo nani anamiliki hayo maeneo? 👇👇Ndugu zangu Watanganyika mliopo kwenye vyombo vya ulinzi na usalama na wale mnaomshauri rais Samia hebu msaidieni asidanganywe na walaghai wenye nia ovu.
Baada ya hapo fanyeni haraka kurudisha umiliki wa eneo la Ngorongoro, KIA na bandari zetu. Pia mchakato wa kuchimba madini kwenye hifadhi na maeneo nyeti usitishwe kwanza.
Ndugu zangu watanganyika kuna leo na Kesho, hakikisheni hamfanyi mambo yatakayofanya vizazi vijavyo vitulaumu.
Nyie ni mashahidi kuwa chifu Mangungo wa Msovero anatukanwa na kudharauliwa mpaka leo kwa kutokuwa makini na kusaini mikataba ya hovyo.
Hili lisijirudie jamani.
Asanteni, nawatakia utekelezaji mwema.
Ni kwa sababu ya kuwepo kwa Utawala wenye Sera, Falsafa na Itikadi ya Ujamaa/Ukomunisti hapa Tanzania.But Nyerere leo hayupo,why tunashindwa kubadili katiba.
Hizo mamlaka zenyewe ziko compromised.zitawezaje?Ndugu zangu Watanganyika mliopo kwenye vyombo vya ulinzi na usalama na wale mnaomshauri rais Samia hebu msaidieni asidanganywe na walaghai wenye nia ovu.
Baada ya hapo fanyeni haraka kurudisha umiliki wa eneo la Ngorongoro, KIA na bandari zetu. Pia mchakato wa kuchimba madini kwenye hifadhi na maeneo nyeti usitishwe kwanza.
Ndugu zangu watanganyika kuna leo na Kesho, hakikisheni hamfanyi mambo yatakayofanya vizazi vijavyo vitulaumu.
Nyie ni mashahidi kuwa chifu Mangungo wa Msovero anatukanwa na kudharauliwa mpaka leo kwa kutokuwa makini na kusaini mikataba ya hovyo.
Hili lisijirudie jamani.
Asanteni, nawatakia utekelezaji mwema.
Hizo mamlaka zenyewe ziko compromised.zitawezaje?Ndugu zangu Watanganyika mliopo kwenye vyombo vya ulinzi na usalama na wale mnaomshauri rais Samia hebu msaidieni asidanganywe na walaghai wenye nia ovu.
Baada ya hapo fanyeni haraka kurudisha umiliki wa eneo la Ngorongoro, KIA na bandari zetu. Pia mchakato wa kuchimba madini kwenye hifadhi na maeneo nyeti usitishwe kwanza.
Ndugu zangu watanganyika kuna leo na Kesho, hakikisheni hamfanyi mambo yatakayofanya vizazi vijavyo vitulaumu.
Nyie ni mashahidi kuwa chifu Mangungo wa Msovero anatukanwa na kudharauliwa mpaka leo kwa kutokuwa makini na kusaini mikataba ya hovyo.
Hili lisijirudie jamani.
Asanteni, nawatakia utekelezaji mwema.
Wanawaza ngono tuUsitegemee kitu
Zipi?Hizo mamlaka zenyewe ziko compromised.zitawezaje?
johnthebaptistvyombo vya ulinzi na usalama
Hili haliwezekani kama sisiemu bado ipo.Wananchi wa Tz kamwe hawataweza kupata utulivu wa mwili na akili hadi hapo wao wenyewe kwa wingi wao watakapoamua kujitungia Katiba yao itakayotokana na fikra na mawazo yao wao wenyewe.
Bila shaka deepstate wanasoma maoni ya wananchi kupitia JFKwa kweli samia haitoshi, nchi amefuruga na kuuza kila kitu
100% perfectHata huu uoga wa Watanganyika amesababisha yeye,kiufupi Nyerere alikuwa mroho wa Madaraka.