Mamlaka husika zimzuie Rais Samia: Nchi yetu inaelekea wapi?

Vyombo vyetu kazi yao kuteka wapinzani, hilo jukumu unalowapa hawawezi
 
Ni katiba yetu ilimuweka madarakani. Ni wakati wa kila mtu kula kulingana na urefu wa kamba yake.
 
Msiowaza ngono mmefanya nini kuzuia nchi isipigwe mnada?

Kwa huu uchawa wa kila mtu anataka rais amuone unategemea mabadiliko gani hapo?
Huu uchawa hata huko taasisi za ulinzi watu hawatumii weledi, Imagine kamishna wa polisi anavunja miwani ya Mnyika 😂Viongozi wakuu wametulia Kama Hakuna linaloendelea
 
Mnaweza mkakuta kule kwa Wajomba yeye ni Jasusi wao kitambo tu na sasa anatekeleza mikakati yao ya Ujasusi wa Kiuchumi. Wanafanya kumpa order tu kama mkuu wa wilaya au mkuu wa mkoa
 
  • Hivi si nyie mliosema Loawasa atauza nchi?
  • Moderators tukumbushie zile nyuzi za kumkashifu Lowasa miaka ya 2014 na 2015.
  • Je kwani mzee wa Msoga anasemaje?
 

View: https://youtu.be/FHdvKTt41IU?si=cOcMWv8fOXA5-Z-g
View: https://www.youtube.com/live/m9WGFYVzCvU?si=qKVjWaHGJPHyG-Ev
 

Attachments

  • IMG-20240820-WA0073.jpg
    81.4 KB · Views: 1
Watanganyika ambao wagetukomboa tayari wamelambishwa asali na kugeuka machawa wa uchafuni
 
Huu uchawa hata huko taasisi za ulinzi watu hawatumii weledi, Imagine kamishna wa polisi anavunja miwani ya Mnyika 😂Viongozi wakuu wametulia Kama Hakuna linaloendelea
And he does not think that One Time Mnyika can be a President.


Yaani watu sijui wakishakuwa na madaraka wanakuwaje.
 
Hatuwezi kujicheka wenyewe,ila tunaohitaji wa tusaidie kwa vile tulivyo nanyo leo ndio watatuzomea na kutucheka.
 
Watu wanaapishwa kwa katiba wakishapata madaraka wanasema katiba ni KIJITABU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…