Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Msiowaza ngono mmefanya nini kuzuia nchi isipigwe mnada?Wanawaza ngono tu
Kwa huu uchawa wa kila mtu anataka rais amuone unategemea mabadiliko gani hapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msiowaza ngono mmefanya nini kuzuia nchi isipigwe mnada?Wanawaza ngono tu
Ni vema sasa tumpokonye ubaba wa taifa, abaki na uroho wake huko aliko!Hata huu uoga wa Watanganyika amesababisha yeye,kiufupi Nyerere alikuwa mroho wa Madaraka.
Ukute wengi wao ni makadaBila shaka deepstate wanasoma maoni ya wananchi kupitia JF
Huu uchawa hata huko taasisi za ulinzi watu hawatumii weledi, Imagine kamishna wa polisi anavunja miwani ya Mnyika 😂Viongozi wakuu wametulia Kama Hakuna linaloendeleaMsiowaza ngono mmefanya nini kuzuia nchi isipigwe mnada?
Kwa huu uchawa wa kila mtu anataka rais amuone unategemea mabadiliko gani hapo?
Mnaweza mkakuta kule kwa Wajomba yeye ni Jasusi wao kitambo tu na sasa anatekeleza mikakati yao ya Ujasusi wa Kiuchumi. Wanafanya kumpa order tu kama mkuu wa wilaya au mkuu wa mkoa1. Nyerere alijua anatuachia katiba mbovu lakini bado akakubali tu kuiacha wakati alikuwa na uwezo wa kusababisha ibadilishwe.
2. Wakati vyama vingi vinaanzishwa Nyerere alijua ccm wamejimilikisha maeneo ya umma na majengo yaliyojengwa na Watz wote bila kujali vyama lakini bado aliona sawa na kuwaacha ccm kupora mali za umma bila kuchukuliwa hatua
3. Muungano tulionao niwa kwake Nyerere na Karume. Haukuwahi kuridhiwa na wananchi. Nyerere pamoja na kujua kuwa Tanganyika imepoteza kila kitu aliacha tu huu muungano uendelee kuwepo ili malengo yake ya kisiasa yatimie
Nyerere hawezi kukwepa hizi lawama ndiyo maana Lissu anamlaumu
Hata DP World mlisema hivyo hivyo,Kwa hiyo nani anamiliki hayo maeneo? 👇👇
View: https://twitter.com/Mwanahalisitz/status/1825872210612945347?t=917h-UYDVo75MVQBoDviTw&s=19
Katiba yetu au Katiba yao??Ni katiba yetu ilimuweka madarakani. Ni wakati wa kila mtu kula kulingana na urefu wa kamba yake.
Ndugu zangu Watanganyika mliopo kwenye vyombo vya ulinzi na usalama na wale mnaomshauri rais Samia hebu msaidieni asidanganywe na walaghai wenye nia ovu.
Baada ya hapo fanyeni haraka kurudisha umiliki wa eneo la Ngorongoro, KIA na bandari zetu. Pia mchakato wa kuchimba madini kwenye hifadhi na maeneo nyeti usitishwe kwanza.
Ndugu zangu watanganyika kuna leo na Kesho, hakikisheni hamfanyi mambo yatakayofanya vizazi vijavyo vitulaumu.
Nyie ni mashahidi kuwa chifu Mangungo wa Msovero anatukanwa na kudharauliwa mpaka leo kwa kutokuwa makini na kusaini mikataba ya hovyo.
Hili lisijirudie jamani.
Asanteni, nawatakia utekelezaji mwema.
Watanganyika ambao wagetukomboa tayari wamelambishwa asali na kugeuka machawa wa uchafuniNdugu zangu Watanganyika mliopo kwenye vyombo vya ulinzi na usalama na wale mnaomshauri rais Samia hebu msaidieni asidanganywe na walaghai wenye nia ovu.
Baada ya hapo fanyeni haraka kurudisha umiliki wa eneo la Ngorongoro, KIA na bandari zetu. Pia mchakato wa kuchimba madini kwenye hifadhi na maeneo nyeti usitishwe kwanza.
Ndugu zangu watanganyika kuna leo na Kesho, hakikisheni hamfanyi mambo yatakayofanya vizazi vijavyo vitulaumu.
Nyie ni mashahidi kuwa chifu Mangungo wa Msovero anatukanwa na kudharauliwa mpaka leo kwa kutokuwa makini na kusaini mikataba ya hovyo.
Hili lisijirudie jamani.
Asanteni, nawatakia utekelezaji mwema.
Ni wakati wake let her be. It is too late
And he does not think that One Time Mnyika can be a President.Huu uchawa hata huko taasisi za ulinzi watu hawatumii weledi, Imagine kamishna wa polisi anavunja miwani ya Mnyika 😂Viongozi wakuu wametulia Kama Hakuna linaloendelea
Hatuwezi kujicheka wenyewe,ila tunaohitaji wa tusaidie kwa vile tulivyo nanyo leo ndio watatuzomea na kutucheka.Ndugu zangu Watanganyika mliopo kwenye vyombo vya ulinzi na usalama na wale mnaomshauri rais Samia hebu msaidieni asidanganywe na walaghai wenye nia ovu.
Baada ya hapo fanyeni haraka kurudisha umiliki wa eneo la Ngorongoro, KIA na bandari zetu. Pia mchakato wa kuchimba madini kwenye hifadhi na maeneo nyeti usitishwe kwanza.
Ndugu zangu watanganyika kuna leo na Kesho, hakikisheni hamfanyi mambo yatakayofanya vizazi vijavyo vitulaumu.
Nyie ni mashahidi kuwa chifu Mangungo wa Msovero anatukanwa na kudharauliwa mpaka leo kwa kutokuwa makini na kusaini mikataba ya hovyo.
Hili lisijirudie jamani.
Asanteni, nawatakia utekelezaji mwema.
Matokeo ya kulindwa wakati fulani hata wakaona kila kitu kinawezekana.Tanzania polisi wanasema TII SHERIIA BILA SHURUTI halafu wao wanazivunja
TII SHURUTI BILA SHERIA!Tanzania polisi wanasema TII SHERIIA BILA SHURUTI halafu wao wanazivunja