Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati ya 2,100 baada ya kupata kibali cha Rais Samia

Yaan kumbe ndogo kwa kuendekeza umalaya, pombe, na show off zisizo na msingi? Narudia kusema 2.4m ni nyingi sana.
 
Unachosema sikupingi mkuu na ndicho nilichomueleza cocastic hiko kitu kuwa anaiona nyingi kwa sababu yupo nje ya mchezo ila akiingia dimbani hizo rates ataziona za kawaida sana tena hazitatoshea kabisa.

Hela sjui ikoje kiongozi...!
Jaman 2.4m ni nyingi sana, khaaah wee. Achen show off zenu bhana.
 
Mkuu ukiingia hapo hata for 5 yrs tu tayari we ni mtu mwengine
 
Mzee mimi mwanzo nilikuwa napewa hizi info ila nilikuwa siamini lakini baada ya kuingia kwenye hizi kazi za International Organizations nimeamini kweli kuna watu wanavuta mpunga kiongozi.

Acha kabisa mkuu...!
Huko mtu kukunja 10M ni kawaida sana yani! Napenda sana kazi za NGO ila kupata sasa ndio ishu
 
wenzio wote wanatembelea Dualis we utakubali utembee kwa mguu? Yani hao walioitwa Dodoma baada ya kuingia kitengo 50% lazma watachukua mikopo ya magari kupunguza machungu ya ukata![emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeh sana.
 
Shida ya wabongo wamekariri ajira ni za serikali tuu,wanaogopa kwenda kushinda a nje ya Nchi nk

Ila to be honest organization za Nje wanalipa vizuri sana ila lazima upige Kazi kweli kweli hakuna janja janja.
Kazi nzuri ikiwa inalipa vizuri huwezi kujihisi kama unachoshwa sana.

Huwezi kuchoka kufanya kazi ambayo inakupa house allowances, Transport, Top class health benefits pamoja na kibunda cha maana say it unapewa 10M kwa kibongo bongo, 40 hours a week.

Wakati kuna mwenzio kwenye kampuni ya muhindi analipwa laki 3 na kazi anafanyishwa toka saa 1 mpaka saa12 jumatatu hadi jumamosi. Haina incentive zozote na ukikosa siku iwe kuumwa au kupumzika unakatwa hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…