cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Yaan kumbe ndogo kwa kuendekeza umalaya, pombe, na show off zisizo na msingi? Narudia kusema 2.4m ni nyingi sana.Pesa ni ndogo ukiwa nayo mkuu ila kama umesugua benchi miaka 4 upo ground zero full of stress unaunga unga hela za udalali elfu 10-20 tena kwa tabu sana usiongee hivyo mzee!
Trust me hela ndogo sana kama unaishi maisha makubwa tayari upo kwenye mfumo kimsingi hela haijawahi tosha. Utataka upange jumba la laki 4 uende bar kila weekend na kumiliki crown jini mafuta huku wategemezi lukuki hela lazma uone ndogo maana company yako unakuta wanakunja 4m au zaidi