Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati ya 2,100 baada ya kupata kibali cha Rais Samia

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati ya 2,100 baada ya kupata kibali cha Rais Samia

Pesa ni ndogo ukiwa nayo mkuu ila kama umesugua benchi miaka 4 upo ground zero full of stress unaunga unga hela za udalali elfu 10-20 tena kwa tabu sana usiongee hivyo mzee!

Trust me hela ndogo sana kama unaishi maisha makubwa tayari upo kwenye mfumo kimsingi hela haijawahi tosha. Utataka upange jumba la laki 4 uende bar kila weekend na kumiliki crown jini mafuta huku wategemezi lukuki hela lazma uone ndogo maana company yako unakuta wanakunja 4m au zaidi
Yaan kumbe ndogo kwa kuendekeza umalaya, pombe, na show off zisizo na msingi? Narudia kusema 2.4m ni nyingi sana.
 
Unachosema sikupingi mkuu na ndicho nilichomueleza cocastic hiko kitu kuwa anaiona nyingi kwa sababu yupo nje ya mchezo ila akiingia dimbani hizo rates ataziona za kawaida sana tena hazitatoshea kabisa.

Hela sjui ikoje kiongozi...!
Jaman 2.4m ni nyingi sana, khaaah wee. Achen show off zenu bhana.
 
Kabisa kabisa my dear kuna watu wanavuta mpunga mrefu sana juzi kuna position ilitoka Ireland Embassy nikamtumia sister aombe aisee, jamaa waliweka na salary yao kabisa per annum, tulivyokuja kuigawa tukakuta kwa mwezi salary anayotakiwa kulipwa ni almost 9m my lovely.

Acha kabisa my dear...!
Mkuu ukiingia hapo hata for 5 yrs tu tayari we ni mtu mwengine
 
Mzee mimi mwanzo nilikuwa napewa hizi info ila nilikuwa siamini lakini baada ya kuingia kwenye hizi kazi za International Organizations nimeamini kweli kuna watu wanavuta mpunga kiongozi.

Acha kabisa mkuu...!
Huko mtu kukunja 10M ni kawaida sana yani! Napenda sana kazi za NGO ila kupata sasa ndio ishu
 
Shida ya wabongo wamekariri ajira ni za serikali tuu,wanaogopa kwenda kushinda a nje ya Nchi nk

Ila to be honest organization za Nje wanalipa vizuri sana ila lazima upige Kazi kweli kweli hakuna janja janja.
Kazi nzuri ikiwa inalipa vizuri huwezi kujihisi kama unachoshwa sana.

Huwezi kuchoka kufanya kazi ambayo inakupa house allowances, Transport, Top class health benefits pamoja na kibunda cha maana say it unapewa 10M kwa kibongo bongo, 40 hours a week.

Wakati kuna mwenzio kwenye kampuni ya muhindi analipwa laki 3 na kazi anafanyishwa toka saa 1 mpaka saa12 jumatatu hadi jumamosi. Haina incentive zozote na ukikosa siku iwe kuumwa au kupumzika unakatwa hela.
 
Back
Top Bottom