Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu usikate tamaa km umeomba ukakosa omba tena Mungu mlezi atakufungulia njia nilishaombaga sana nikakosa. Oyooo Oyoooo Oyooooo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji14]Majina ya michongo
Hongera sana Mkuu.Mkuu usikate tamaa km umeomba ukakosa omba tena Mungu mlezi atakufungulia njia nilishaombaga sana nikakosa. Oyooo Oyoooo Oyooooo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji14]
Mshukuru Mungu, there is always NEXT TIME.Majina ya michongo
Mbna hili sio TRA?Mbona mzigo tayari
Waliweka wamelitoa tena.
Hongera sana Mkuu.Wakuu mimi pia nimepita. Sifa na utukufu nikwako Mungu uliye mkuu usioweza kuelezeka. Kesho nipo kwenye gari naelekea dodoma.
Hongera sana.Mkuu usikate tamaa km umeomba ukakosa omba tena Mungu mlezi atakufungulia njia nilishaombaga sana nikakosa. Oyooo Oyoooo Oyooooo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji14]
Hongera sanaaa.Wakuu mimi pia nimepita. Sifa na utukufu nikwako Mungu uliye mkuu usioweza kuelezeka. Kesho nipo kwenye gari naelekea dodoma.
Mimi unadhani Ni jobless Kama ww?Mkuu usikate tamaa km umeomba ukakosa omba tena Mungu mlezi atakufungulia njia nilishaombaga sana nikakosa. Oyooo Oyoooo Oyooooo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji14]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wanawaza kujenga appartments, huko TRA si kuna fweza sana.Wanalipa sh sh ngapi watu wajiandae kununua sabufa
Hamna michongo... nina marafiki 6 wamepata kwa kupambanaMajina ya michongo
2.3 mWanalipa sh sh ngapi watu wajiandae kununua sabufa
Duuuuh hatareeeeh sana.Nimeona Majina ya Rahel Oni isac sigala -mtoto wa Oni Sigalla wa bakita, Sarungi, Elena John Tutuba - Emmanuel Tutuba ni katibu mkuu Wizara ya Fedha au hawana undugu? YA MUNGU - Ni Naibu gavana wa benki kuu,
Kwenye pesa ndefu Ni tcra, EGA,bot,tpdc[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wanawaza kujenga appartments, huko TRA si kuna fweza sana.