Muju4
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 5,489
- 7,446
Sasa TRA unalipwa 2.3 M Haina Posho ya Nyumba, Haina Posho ya utilities, Haina Posho ya ujuzi,Haina Posho ya katikati ya mwezi hence 2.3 m sio nyingi kivile
Asiyejua kushukuru kwa kilicho haba hawezi kushukuru kwa kikubwa Mkuu. Mafanikio hayapo defined kwa ukubwa wa mshahara usikute mtu mwenye kulipwa laki 5 kwa mwezi ana mafanikio makubwa kuliko Boss wake.