Ndalilo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,343
- 7,516
Kwamba TCRA, entry point mtu anaanza na 4.5m? Au hii ni kwa wale miaka mingi kazini?2.3 M Ni nusu ya salary ya tcra
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba TCRA, entry point mtu anaanza na 4.5m? Au hii ni kwa wale miaka mingi kazini?2.3 M Ni nusu ya salary ya tcra
Kiongozi vipi kuhusu salary scale ya TPA / Mamlaka ya bandari TZ ? Ukicompare na taasisi nyingine hususani TRA na BOTKwenye pesa ndefu Ni tcra, EGA,bot,tpdc
Habari
Napenda kuwapa hongera ndugu zangu mliobahatika kupata ajira TRA tumepambana wote toka written mpaka oral lakini kwa uhaba wa nafasi wachache waliofanya vizuri waka bahatika kupata nafasi hizo... nawatakia utumishi mwema ndugu zangu hope na mimi siku moja nitafanikiwa.
Tra wako juu kwa tpa, bot wako juu ya tra.Kiongozi vipi kuhusu salary scale ya TPA / Mamlaka ya bandari TZ ? Ukicompare na taasisi nyingine hususani TRA na BOT
4.5M kwa anayeanza.Kwamba TCRA, entry point mtu anaanza na 4.5m? Au hii ni kwa wale miaka mingi kazini?
- African Court on human and people's Rights mtu mwenye diploma anaanza na Milioni 3, na anasomeshewa watoto wake Hadi wanne,Unachosema ni sahihi kabisa mkuu. Kuna vitengo wanakunja hela ndefu sana katika hizi hizi Government Institutions au Authorities, achimbilia mbali huko kwenye Embassies, International Organizations na U.N ndio hatari sana.
- African Court on human and people's Rights mtu mwenye diploma anaanza na Milioni 3, na anasomeshewa watoto wake Hadi wanne,
1000 zijazo ndo zipi tena?Mkuu hii haisaidii, kama walifikisha 50% na wakafaulu oral ni halali yao, binafsi nilipata 49.5% najua huu haukuwa wakati sahihi ila natambua upo wakati sahihi na nitapata kirahisi sana.
Kwahiyo kukunja sijui huyu Baba yake nani sijui nani haina msaada, focus katika hizo 1,000 zijazo jipange vizuri huenda ikawa zamu yako na yangu but for now fungua moyo wabariki wengine nawe utabarikiwa.
Samahani kama hotuba hii itakukwaza.
Acha kulisha watu matango... Never. Nitajie hicho cheo Cha huyo MTU anayeanza na 4.5m4.5M kwa anayeanza.
Mkuu inawezekana kabisaAcha kulisha watu matango... Never. Nitajie hicho cheo Cha huyo MTU anayeanza na 4.5m
Mkuu kibali cha mwanzo kilikuwa ni cha 1,100 Mh. Rais akaongeza akasema waajiriwe watu 2,100 kwahiyo kulikuja kuwa na ongezeko la nafasi 1,000 wakati mchakato wa hizi zilizotoka leo ukiendelea.1000 zijazo ndo zipi tena?
Pamoja kiongozi. So TPA wanaweza kuwa wanalipwa kiasi gani kwa entry level wa degree?Tra wako juu kwa tpa, bot wako juu ya tra.
Aaah ndio nimeona hapo .. Lakini wamesema wameajiri 1453.. Kwa hiyo ukitoa 2100 zinabaki kama 600+Mkuu kibali cha mwanzo kilikuwa ni cha 1,100 Mh. Rais akaongeza akasema waajiriwe watu 2,100 kwahiyo kulikuja kuwa na ongezeko la nafasi 1,000 wakati mchakato wa hizi zilizotoka leo ukiendelea.
Sahihi Mkuu sasa this time let us kill it once and for all.Aaah ndio nimeona hapo .. Lakini wamesema wameajiri 1453.. Kwa hiyo ukitoa 2100 zinabaki kama 600+
Mimi pia nilipata 49.5 .. Was Very Close
Inawezkana SAWA, atje cheo, huo mishahara sio kwamba ni mkubwa sana ila ni Kwa watu ambao wamekaa kazini muda kidgo au ameajiriwa na uzoefu Fulani...lakn fresh from college ni ngumu. Au ameajiriwa na level ipi ya elimu. Kama masters +PhD SAWAMkuu inawezekana kabisa