Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati ya 2,100 baada ya kupata kibali cha Rais Samia

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati ya 2,100 baada ya kupata kibali cha Rais Samia

Kuweka picha, weka cv weka kila kitu yaani ili wakose sababu... namba ya NIDA. Hakikisha accout yako imefika angalau 80%
Mkuu yangu Iko 💯% kabisa.. labda hyo CV ndo sijaweka officially,, but picha ipo na zagazaga kibao.. tena nataka nikacertify vyeti vyangu colored kabisa kama attendants wanashida ya macho basi iwarahisishie kuona😁
 
Back
Top Bottom