Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati ya 2,100 baada ya kupata kibali cha Rais Samia

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati ya 2,100 baada ya kupata kibali cha Rais Samia

Habari

Napenda kuwapa hongera ndugu zangu mliobahatika kupata ajira TRA tumepambana wote toka written mpaka oral lakini kwa uhaba wa nafasi wachache waliofanya vizuri waka bahatika kupata nafasi hizo... nawatakia utumishi mwema ndugu zangu hope na mimi siku moja nitafanikiwa.
 
God's time is the best time.Take courage mkuu, soon mambo yatakua poa
 
Unachosema ni sahihi kabisa mkuu. Kuna vitengo wanakunja hela ndefu sana katika hizi hizi Government Institutions au Authorities, achimbilia mbali huko kwenye Embassies, International Organizations na U.N ndio hatari sana.
- African Court on human and people's Rights mtu mwenye diploma anaanza na Milioni 3, na anasomeshewa watoto wake Hadi wanne,
 
Mkuu hii haisaidii, kama walifikisha 50% na wakafaulu oral ni halali yao, binafsi nilipata 49.5% najua huu haukuwa wakati sahihi ila natambua upo wakati sahihi na nitapata kirahisi sana.

Kwahiyo kukunja sijui huyu Baba yake nani sijui nani haina msaada, focus katika hizo 1,000 zijazo jipange vizuri huenda ikawa zamu yako na yangu but for now fungua moyo wabariki wengine nawe utabarikiwa.

Samahani kama hotuba hii itakukwaza.
1000 zijazo ndo zipi tena?
 
Mkuu kibali cha mwanzo kilikuwa ni cha 1,100 Mh. Rais akaongeza akasema waajiriwe watu 2,100 kwahiyo kulikuja kuwa na ongezeko la nafasi 1,000 wakati mchakato wa hizi zilizotoka leo ukiendelea.
Aaah ndio nimeona hapo .. Lakini wamesema wameajiri 1453.. Kwa hiyo ukitoa 2100 zinabaki kama 600+

Mimi pia nilipata 49.5 .. Was Very Close
 
Nawapa pongez vijana wote walioitwa kazini katika taasisi mbali mbali za serikali ikiwamo TRA na Takukuru!
Ni takriban vijana 1900 wameondoka mtaani rasmi !
...Mkatimize wajibu na mtende haki!

372DBBBA-DFAF-4811-AF4E-D6E49E2B5BB7.png
 
Back
Top Bottom