Ila kiukweli mimi binafsi bila kumshirikisha mtu yoyote hayo matakwa ya hio barua waliyotoa Bwana Jabir na TCRA mimi sijayaelewa kabisa kwa hio kuchapisha maelezo ya Polepole kwenye page ya JF Insta na X ni kosa km ni kosa kwanini hawakusema mapema au ndio visa tu sababu mtu fulani anachekwa na kupigwa sana spana humu Jf kulani inadi kabisa hukuMm sio mende mkuu naona una washwa washwa perianal sphincter.
Magu hakushindwa na raia, bali wababe wanaokuswaga sasa hv ndio walimlamba KO...so ondoa hayo matumainiNawaambia mtashindwa tu ni swala la muda hata Magu alikuja na spidi kiko wapi sasa hivi?
VPN ya wapi Jamani.....mbona mie nateleleza bila VPN?Jukwaa mbona tunalipata jamani.Mwendo wa VPN tu.
Shida sio kuwa naye je huyo aliyenaye anajua kama ana stress za JF 😂😂😂😅😅😅anae anakosaje sasa
🤣🤣🤣lazima atakuwa anajuaShida sio kuwa naye je huyo aliyenaye anajua kama ana stress za JF 😂😂😂
Tuwashangae nyie kima...Mi mbona situmii VPN na nipo jf
Wameachia tuagane au labda sio Jukwaa hili maana JF ipo Twitter, Facebook au Instagram sijui JF Digital etcMuda bado,subiri kesho kama utaiona
Nyie si hampigi kuraTofauti na kufungia lakini alikofanya huyu wasasa
Miezi 3, alafu anataka kula zetu eeh hiyo Oktoba 🙌
Kuna baadhi ya watu hawaingii bila vpn, hata mimi nilikuwa naingia kawaida ila dk5 hivi imegoma hadi kwa vpnPia situmii VPN basi itakuwa bado hawajafungia.
Waliishika saa ngapi!!?Hahahaha wameiachia
Hamna huyu kilio chake Cha peke ake 😂😂😂nakutumia naul uje home nikubembeleze vizur🤣🤣🤣lazima atakuwa anajua
Alisema idd amin na wwMseveni anasema uganda kuna uhuru wa kuongea ila baada ya kuongea atashindwa kukuthibitishia uhuru wako
Mimi Niko hapa bila hayo mambo yenu..Kuna baadhi ya watu hawaingii bila vpn, hata mimi nilikuwa naingia kawaida ila dk5 hivi imegoma hadi kwa vpn