Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

Hapa lengo ni uchaguzi upite. Lakini watambue huwezi dhibiti uhuru wa watu kutoa maoni na kupashana habari kipindi hiki ambapo tekonlojia ya mawasiliano kwa njia mbalimbali imekuwa sana.

Kwa mfano, kwa kufungia mtandao wa X, imesaidia nini?
 
Wanafki utawajua tu....mmeligeuza jukwaa kuwa la hovyo halafu mnakuja kujiliza hapa! MMEMMTUKANA MAMA WAWATU KAMA VILE HAMNA MAMA, MMEMTUSI RAISI KWA KEJELI NA DHIHAKA , hata mimi nisingekubali aisee! MODS NDIO WANAFKI WA KWANZA, MNAFUTA VITU VYA MSINGI MNAACHA VYA HOVYO...! sasa tukafanye KAZIπŸ˜…πŸ€
 
nimecheka kwamba kumbe viongozi huwa wanatupia vpn kimya kimya kama sisi
Taasisi zote za serikali, viongozi wa serikali na raisi wanatumia VPN mjini X (twitter) kupost

Hata humu watabaki kufuatilia kinachoendelea wakitumia VPN
 
*SEREKALI ITAFAKARI SUALA HILI KWA UMAKINI, HEKIMA NA KWA KINA, NA PENGINE ITOE TU OVYO KWA MAMLAKA ZA JF KUHUSU KUDHIBITI HABARI MBALI MBALI, INATOSHA! *....... .
 
Kwani Picha nani kuvujisha? Hakukuwepo waliopatikana ikulu wakati wa ule mkumbatio hatukuwepo kwanini tuhukumiwe kwa kupata hizo taarifa?

Dah! Sasa Polepole tutapata wapi taarifa zake?
Wana deal na watema mate wanawaacha wajambaji
 
Umezeeeeka tafuta bwanaaa uoleweeee
 
 
Mama yenu kama analiwa hadharani sisi tufanyeje? Maana sio uzezeta huo.
 
Reactions: vnn
Kwani zile picha si zimepigwa na watu wa ikulu wenyewe jamani au ? Huku Jf zimekuja kujadiliwa tu πŸ˜‚πŸ˜‚
Source ya hizo picha ni web ipi mkuu yan wa mwanzo kuzipublish ?
Ni ikulu lakini hazikuwa na maadili hata kidogo,utadhani ni mtu na mpenziwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…