Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

Huo ni utapeli sasa au kwasababu nimepataja mbopo mda si mrefu haya kwa taarifa yako nipo Kasulu, Geita๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Vpn yako inasoma huko kasulu ila upo mbopo

Nakutumia nauli hapo acha ubishi waifu usilie peke ako ๐Ÿ˜‚
 
Mi nilidhani jf mnamiliki sever zenu wenyew kumbe bado mnatumia za serikali
 
Kwa kuifungia jf ni kama wamejificha wakati walitakiwa wafichame.
Kufichama ni kuji camouflage
Kujificha ni concealment
Kujificha maana yake ni kujihifadhi sehemu usionekane lakini na wewe utakua huwaoni maadui. Hii ni mbaya wakati on the other hand kufichama ni kukaa sehemu unawaona maadui na wenzio wote ila maadui hawakuoni.
Jf iliisaidia serikali kufichua maovu na serikali kuchukua hatua. Sasa hivi serikali itakua haijui kinachoendelea nchini maana viongozi wengi hawawapi wakubwa ukweli. Ni machawa.
Rostam, Kigwangala na Oddo watakua wamefurahi sana ila ni kwa muda tu.
THE DEVIL IS A LIAR Mark this phrase, alternatively you can take it to the bank.
 
Nini kinawazuia kuyasahihisha ikiwa sasa hayupo na ndio yamezidi mara dufu? usafi anao, angalau alitetea rasilimali zisichukuliwe kijinga na kizembe!
Kwani huyu Samia ni zao la uongozi wa nani?

Uongozi wa nani sheria za kipuuzi za mtandao zilitungwa?

Hatuwezi kutafuta suluhisho bila kujua chanzo .
 
Twendeni Kenya kama kipindi kile walivyofungia, mtk hawa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ