Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Achana na mzungu mkuuAlieleta VPN ana akili sana, yani una bypass hata walioajiriwa kufunga mtandao
We ni muoga hamna Cha tatizo lilianzia wapi Wala kuishia wapi na watu kama nyie ndio wale wa vyeti feki mlikurupuliwa kama panya kwenye shimo ndio maana unahasira na maiti wakati imeshaondoka miaka minne acha uoga muhoji aliepo kwanini anafanya hayoNafikiri hujui kusoma kwa ufahamu.
Ungekuwa unajua kusoma kwa ufahamu ungetambau "cause-effect" ya hili tatizo imeanzia wapi na walioleta matatizo hawawezi kuwa sehemu ya kutatua bali inahitajika watu wapya kabisa.
Kwa mtindo huo siwezi kufanya mjadala na wewe sababu hauelewi hata nilichoongelea tangu mwanzo wa bandiko hili.
Mwenzio Melo hata kuingia huku hawezi, mimi sijui hata nimewezaje?🤣🤣🤣
TCRA siku zote hutumika kama fimbo ya watawalaHivi inawezekanaje mamlaka ya mawasiliano iwe na watu wasiojua tofauti ya website ambazo maudhui yake huzalishwa na watumiaji na zile ambazo maudhui huzalishwa na wamiliki?
JamiiForums ni kama vile Reddit au Quora ambapo wanachama ndiyo chanzo cha taarifa na si vinginevyo.
Nachelea kusema kuwa aliyeandika barua ile ni mtu ASIYE NA WELEDI NA HASTAHILI KUWEPO TCRA.
State captured, kila jambo ili litimie ni lazima lipite stage zote za Wananchi kuamuwa sasa imetosha.Serikali hii siyo ya wananchi.
Serikali ya Samia na genge lake