Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

Jf inatumika kufanya upotoshaji sana mara kadhaa nimekuwa nasema hili.

..JF ni uwanja sawa.

..hata kama kuna upotoshaji nafasi ya kuupinga na kuurekebisha ni kubwa.

..tatizo Ccm hawapendi taasisi zinazotoa nafasi sawa kwa vyama vyote.

..JF ingekuwa inatoa nafasi za kuisifia Ccm, na kuunanga upinzani wakati wote, isingefungiwa.
 
MACCM ni maoga hayajiamini kama kunguru mafi kabisa
 
Alisema yule jamaa " nitaandika posti watu wote watapoteana." Na ndiyo ilivyokua.
 
Kwani CCM bado ipo ?
Kuna chama kinachoitwa ccm ?
 
Sahihi sana, wakiongeza button ya ku donate pale juu tutafanya jambo..
 
Sisi wabongo miyeyusho sana. Sasa upo nyuma ya mtu kwenye keyboard, how does that change anything in a physical world ?
Hujui kitu kiongozi...
Nafahamu kwanini nasema hivyo..
Humu ndani kuna watu wa kila namna, usichukulie watu poa..
 
Kule ngumu. Wameshindwa Twitter (X) kule watawezaje?
Twitter [X ] kwa wanaoishi Tanzania haipatikani bila VPN.

Naona kwa mawe ya binti Kimambi suluhisho la mwisho nayo Instagram itakuwa geo blocked kupunguza mashambulizi.

Kufungia kabisa hawawezi wanafanya geo blocking.
 
Watapita pita sana kwenye hii thread, wakinakili maudhurio...
Hahaha...


Cc: Mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…