Mamlaka ya Usalama wa Anga Tanzania (TCAA) imewataka wamiliki wa 'drones' kuzisajili ndani ya siku 4

Wao kwa kibaraka Lisu ni kila kitu
Kuna watu wamekuwa wajinga kwa kukabidhi akili yao na kila kitu kuhusu maisha yao kwa wanasiasa.

Hiyo sheria na utaratibu wa kusajiri drone au UAS ni wa duniani kote, hadi nchi zote za Ulaya, America na Asia wanafuata utaratibu huu lakini wanatofautiana kwenye vipengele vidovidogo tu vya hayo mashariti ya kurusha drone.

Hivi vyombo ni hatari hata kwa abiria wengine wanaotumia usafiri wa anga kupitia ndege zenye rubani.

Drone ni hatari kwenye usalama wa nchi zisipowekewa utaratibu mzuri.
 
Maafa gani?
Hatari gani?
Soma hapo chini
 
Kama unamiliki tiara,kuku,bata...na ungo wa kurukia usiku au kama ni mruka sarakasi na ngongoti,mchoma mapori,mpiga FATAKI mwaka mpya... tukutane kwenye usajili hapa Dom,maana unatumia anga bila usajili
 
Kwaiyo adi za watoto ambazo hazina camera zinaitaji kusajiliwa wasije muingiza mwanangu kwenye kesi ya uhaini bure?
 
Sawa tutasajili lakini ada isizidi bei ya drone wamiliki wengine wanatumia kupigia picha kwenye maharusi tu
 
Ukitegemea pesa za Kodi ziendeshe nchi alafu unafungia pesaa watu wanafunga Biashara zao hakikaa utaonjaa jotoo ya jiwee tuu...!! Sasa ndo kinachotokea now yani mapato inabdi yalazimishweee mpaka kibubu kijaee...
 
Kwa hiyo ukiisajili Utajua drone gani imebeba mifupa?????
 
Wameona Upinzani wanatimia Drones kwenye kurekodi mikutano Kwa ajili ya usalamaa fisiemu hawafaii aisee na jambazi mkuu jiwe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa mwendo huu hata helicopter kutumika katika uchaguzi huu ni shida. Hasa kwa vyama mbadala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…