Mamlaka za Saudia zimekanusha taarifa za Pombe kuruhusiwa kuanzia 2026 nchini humo

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Uliionja wapi?
 
Mwangalizi mkuu(custodian) wa maeneo matakatu ya Uislamu.
ahaa
kwa hyo anatoa.maamuz kama kiongozi wa serikali
sio dini.ameua hivyo muacheni aamue .dunia ndogo hii
 
Ukanisa ni ujinga sana mmeisha zoweya kuwanakia ma bint wa kikristo kanisani mnadhani huyu MBS hata anaujua Uislam. Yeye kama anakubali family yake wajianike mwambie awanike mbona hata mke wake hataki watu wamuone πŸ˜† πŸ˜‚
 
Wewe convert kamwe siyo muislam. Utawaje wewe muislam kuliko MBS. Mbele yake wewe ni nyani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…