Mamlaka za Saudia zimekanusha taarifa za Pombe kuruhusiwa kuanzia 2026 nchini humo

Ukristo hata kanisani mnaozeshana wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawake afu mnajisifu mna dini.

Huyo si analindwa na USA kwanza yuko mbali na dini ya Kislam. Uislam na pombe wapi na wapi.
Kwenda zako huko dudukwee
Mla nguruwe kwa siri wewe
Mnajifanya wasafi kumbe wahuni wakubwa nyie
Wezi wazinzi matapeli walaghai wahuni mafisadi
 
Kwenda zako huko dudukwee
Mla nguruwe kwa siri wewe
Mnajifanya wasafi kumbe wahuni wakubwa nyie
Wezi wazinzi matapeli walaghai wahuni mafisadi
Tulizana binti wacha kutuzulia uwongo sio kila unaye muona anajina la kislam basi ni Muislam.

Wa kwanza huyo MBS ona anayo fanya sio Uislam kabisa.

Nani tena amekubandika huko mpaa udhani sote wazinzi pole sana.
 
Pombe ni pombe tu hakuna ya peponi au ya duniani acha kutupotosha hapa labda papuchi za wale mabikira 72 ndio zina tofauti na za hawa wa duniani maana zinafanya kazi masaa 24/7 bila kuchoka yaani we unajilia tu uku ukishushia kisungura cha peponi kutoa uchovu
 
Kama haina ulevi hiyo sio pombe Sasa labda useme juice.
 
Huyo jamaa lazima laana nzito itamkuta
Hakuna kitu kinachoitwa Laana wewe!! ni stori za wazee wa zamani kuwapumbaza watu ilikuwatia ujinga ili iwe rahisi kuwatawala sasa na wewe unasombwa tu na ujinga huo pasipo kutumia akili wapi umewahi kushuudia laana kama sio kusikia kwa waswahili wasio enda shule huko mtaani, acha jamaa aruhusu bapa na visungura huko watu wayaone maisha kwenye mwanga bora waache ugaidi na misimamo ya kijuha au ujui mitungi inafukuza majini. Akiruhusu kitimoto huko mnifahamishe niamie huko maana kombi itakuwa imebalance
 
Ukristo hata kanisani mnaozeshana wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawake afu mnajisifu mna dini.

Huyo si analindwa na USA kwanza yuko mbali na dini ya Kislam. Uislam na pombe wapi na wapi.
Huyo ndiyo muanzilishi na mmiliki wa uislamu sasa wewe Mmatumbi umekaririshwa hayo mavitabu na ukageuzwa msukule mpaka ukaamini kuwa kitabu kimedondoshwa(kimeteremshwa) kutoka ‘mbinguni’ ambavyo mpaka kiteremshwe it explains that mbingu ni somewhere juu beyond the clouds. Kuamini huo upuuzi lazima uwe umejitoa ufahamu na bible at least huwa wanaeleza ukweli kuwa ni compilation ya vitabu vilivyoandikwa na watu ila longolongo zilizomo kwa kiasi kikubwa zinafanana pamoja na longolongo za Judaism. Doctrine zilizo na chimbuko la Middle East zinafanana lakini ukienda Far East unakutana ni beliefs tofauti kabisa hata sisi Afrika tulikuwa na imani zetu tofauti kabisa kabla ya kumezeshwa scriptures zenye chimbuko la Mashaki ya kati.
 
Tulizana binti wacha kutuzulia uwongo sio kila unaye muona anajina la kislam basi ni Muislam.

Wa kwanza huyo MBS ona anayo fanya sio Uislam kabisa.

Nani tena amekubandika huko mpaa udhani sote wazinzi pole sana.
Dudukwee acha uongo wako hao nyumbu wenzako tunaishi nao mtaan
Tunawajua vzr wanafiki wakubwa
 
Hebu tuwekee Surah inasema Qur'an ili dondoshwa hahaha ukristo ni uwongo mtupu. Qur'an imesema imeshushwa na Mungu kwa njia Gabriel kwa Mtume Muhammad kwani Yesu na Mussa walipewa vipi vitabu na Daud au vyao vilidondoshwa..

Hizo bibilia unazisifia hayo ni magazeti labda vitabu vya Mungu haviwezi kuwa na tolea jipya na la zamani hahaha. Vitabu vya Mungu lazima Kiwe kinaitwa Taurati, Injili. Zaburi au Qur'an ukisha ona kuna jina la mtu King James. LUKE. Mathew, John basi juwa hivyo vitabu vya Shetani.
 
Una ushahidi wowote kuhusu haya maelezo yako? Vipi kuhusu bikira za peponi? Zina utofauti na hizi za duniani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…