Maneno ya Rais Samia yafika kwenye vyombo vya habari vya kimataifa

Ndio maana nakwambia kua mfano wako hauna maana,
Mtu ambaye silaha zake zinaua maelfu ya watoto huko Gaza,anapata wapi uchungu wa kukwambia wewe kua mtoto mmoja uliyembeba anataka kuanguka? uwe unajipa muda kwanza wa kutafakari kabla hujaamua kupost jambo hapa JF.
 
kwa hio unashabikia utekaji na
mauaji kwa ya raia kwa coment yako hii
 
Kama amekereka sana si avunje tu uhusiano wa kidiplomasia na hizo nchi alizozilalamikia au hawezi?
Wafukuze hao mabalozi anaowalalamikia
 
kwa hio unashabikia utekaji na
mauaji kwa ya raia kwa coment yako hii
Hakuna sehemu ambayo nimesema kua nashabikia utekaji au mauaji,wala hakuna mtu ambaye ni timamu anayeweza kushabikia mambo hayo,

Point yangu ni kwamba,hakuna nchi ambayo hua inapenda kuingiliwa kwenye internal affairs zake,hilo ni jambo la kawaida kidiplomasia wala sio jambo jipya.
 
Kwa hiyo Tanzania ilipokuwa inazisaidia nchi za kusini mwa Afrika kujikomboa ilikuwa inaingilia internal affairs za nchi hizo?
 
Kwa hiyo Tanzania ilipokuwa inazisaidia nchi za kusini mwa Afrika kujikomboa ilikuwa inaingilia internal affairs za nchi hizo?
Hili swali hata mtoto wa darasa la pili hawezi kuliuliza,hivi nchi ambayo inapigania kujikomboa inakua tayari ina mamlaka kamili?

Hoja yako nitofauti kabisa na mjadala uliopo hapa au na hoja yangu.
 
Aanzie wapi? Yeye ndiye anawatuma!! kaishaipata kuwa hapati kura anatafuta kura kwa ncha ya upanga! Hili jini siku zake kwshney
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…