Maneno ya Rais Samia yafika kwenye vyombo vya habari vya kimataifa

Maneno ya Rais Samia yafika kwenye vyombo vya habari vya kimataifa

Samia ni muoga.anawaogopa wakuu wake wa vyombo vya usalama. Alitakiwa atoe kauli MOJA."wanaohusika na kifo cha kibao wakamatwe wapelekwe mahakamani mkishindwa nitaanza na nyie"
Sasa yeye anawaambia fanyeni uchunguzi. Uchunguzu wagundue nini?ndo maana wenzie wana mdharau mpaka leo hawajampelekea chochote
Hawaogopi ila yeye ndio kawatuma. Lakini yeye pia nguvu yake inatoka humohumo.
 
Yaani wewe unaona ni sawa anapoamua kuanza kuua watu asiulizwe akiulizwa anasema "asiingiliwe" ili aue na kuvunja haki za binadamu kwa raha mustarehe?

Una kichaa?

Wakati wa kuleta maendeleo anawataka,ila akianza kuua asiulizwe
Hivi mpaka leo unaamini kuna kitu kinaitwa haki za binaadamu kwa wenzetu. Kama wanazielewa haki za binaadamu, wangeanzia huko Gaza.

Msidanganyike, wenzetu wanajua interest zao tu na sio haki za binaadamu.
 
kama wao wanakuja na hatuwazuii kuja kwetu basi hayupo wa kutuzuia kwenda kwao pia gentleman 🐒

hakuna muujiza kwenye hili. wasipokuja kwetu, nasi hatuna haja hata kidogo kwenda kwao na wala si Lazima lakini pia si muhimu 🐒
Uko kichwani kwako kuna matope
Yaani unapinga nchi haiendeshwi kwa misaada hata kama ni ushabiki sio hivi

Condomu
Arv
Chanjo za watoto

Zote hizo tatu kwa kuanzia tunapewa misaada kama nchi alafu unasema nchi haiendeshwi kwa misaada wewe endelea na ushabiki ila huwezi pindisha ukweli
 
Uko kichwani kwako kuna matope
Yaani unapinga nchi haiendeshwi kwa misaada hata kama ni ushabiki sio hivi

Condomu
Arv
Chanjo za watoto

Zote hizo tatu kwa kuanzia tunapewa misaada kama nchi alafu unasema nchi haiendeshwi kwa misaada wewe endelea na ushabiki ila huwezi pindisha ukweli
kuna yeyote alielazimishwa kuleta chochote humu nchini kutokea huko kwao?

nadhani msaada zaidi wa fikra mpya na mawazo mbadala, unapaswa kupewa wewe ambae unaewaza kimaskini sana, lakini pia uwezo, ufahamu na uelewa wako mdogo kuhusu masuala haya ya misaada 🐒

hata hivyo,
ni vizuri zaidi ukaacha uvivu na kuwa jasiri, kwasabb Tanzania jamii kua maskini au tajiri ni uamuzi wa mtu binafsi. Nini hakuna Tanzania hata utegemee msaada wa mtu kama sio utumwa mbaya wa fikra dumavu na mgando hizo?🐒
 
Back
Top Bottom