Maneno yalikuwa mengi sana, sasa nasubiri muongee

wanaume wamechuana group stage mpaka final cafcl,wakaimaliza champions league linatengwa lingine la super cup.

kote uko nyinyi ampo mko ligi ya maluza😂😅
 
Ooh kumbe hujui lolote kuhusu super cup kaa huko hufai kubishana na mimi
 
Tatizo unaongea pumba kwahiyo unaounganisha bayern na man cit,,,,,, etihad ni jitu kubwa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Ww ndo una andika upumbavu na mavi kabisa unaicheka simba kutolewa kwenye mashindano ambayo timu yako ya Utopolo ilitolewa tena kwenye hatua ya kwanza kabisa na kitimu cha hovyo sasa huo wanaume wenu nyinyi manyani uko wapi?
 
Hahahah simba ni zaidi ya Zuwena
 
Ww ndo una andika upumbavu na mavi kabisa unaicheka simba kutolewa kwenye mashindano ambayo timu yako ya Utopolo ilitolewa tena kwenye hatua ya kwanza kabisa na kitimu cha hovyo sasa huo wanaume wenu nyinyi manyani uko wapi?
Mwambie asikariri goli mbili SI nyingi mkuu never celebrate it's too early.
 
Chekechea anavyofurahia kufeli kwa form six
 
Wee jamaa unahangaika na utopolo?
Mashabik wa simba wanavyo sema wamekufa kiume nakumbuka kuna jamaa mmoja alifumwa na mke wa mtu wahuni wakapasua spika asa wana wakawa wakimuuliza oya hawajakufanya chochote mwana anajibu wamenifir* ila kwa tabu sana
 
Jibu hoja acha upuuzi nyani ww.
Mashabik wa simba wanavyo sema wamekufa kiume nakumbuka kuna jamaa mmoja alifumwa na mke wa mtu wahuni wakapasua spika asa wana wakawa wakimuuliza oya hawajakufanya chochote mwana anajibu wamenifir* ila kwa tabu sana
 
Hayo mashindano ambayo Simba ametolewa kwenye hatua ya robo fainal tena na Widad timu ya pili kwa ubora barani Afrika, ndo hayo hayo ambayo utopolo alitolewa raundi ya kwanza tena na kitimu cha hovyo kutoka kwenye nchi yenye vita.
Punguza muwasho kwenye jicho lako la nyuma wahuni wasije kukushuhgulikia.
chomoa ado ado chief kuzuia michubyko
 
Unaongea Pumba Kwanza wewe hujacheza na timu kubwakubwa Afrika wakati Simba inabattle na hizo timu.
Kama ipi mana Timu hizo kubwa zote alizocheza nazo simba kafungwa
Tena timu moja katika hizo ilimtia bao kotekote mbele na nyuma kote mwarabu kawaharibu
 
Daaah, ngoja niteremke moja kwa moja kwenye point,,
Simba alipokuwa cafcl maneno yalikuwa mengi sana, sasa nasubiri muongee na sahivi niwasikie,
NASEMA HADI FA HAMTAPATA YAANI MTAKANDAWA POTE POTE MKIVUKA AZAM FC MNAKUTANA NA MWENYE KUU YA JANGWANI YAANI MTAPOTEANA MPAKA MSEME JINA LA UTOTO LA PROF.NABI
Usiombe ukutane na Simba FA ndugu, anzeni kunyenyekea mapema maana anakuja na hasira kuwakata midomo.
 
Daaah, ngoja niteremke moja kwa moja kwenye point,,
Simba alipokuwa cafcl maneno yalikuwa mengi sana, sasa nasubiri muongee na sahivi niwasikie,
NASEMA HADI FA HAMTAPATA YAANI MTAKANDAWA POTE POTE MKIVUKA AZAM FC MNAKUTANA NA MWENYE KUU YA JANGWANI YAANI MTAPOTEANA MPAKA MSEME JINA LA UTOTO LA PROF.NABI
Kiazi mbatata 🚮🚮
 
Back
Top Bottom