Maneno yalikuwa mengi sana, sasa nasubiri muongee

Waombe ule moto itakua mara 3 yake
Wajue mwanajeshi akitoka vitani hata kama atakuwa kashindwa, kamwe hawezi kufanana na askari polisi wala mgambo, ukimvimbia unapokea kichapo cha kijeshi.
Wanatakiwa wanyamaze kabisa.
 
Nyie ndio mlifungwa 2 - 0 na Simba juzi au sio nyie tukumbushane
 
Wataongea nini tena? Wamefungwa mdomo hivi...
20230429_013838.jpg
 
Wajue mwanajeshi akitoka vitani hata kama atakuwa kashindwa, kamwe hawezi kufanana na askari polisi wala mgambo, ukimvimbia unapokea kichapo cha kijeshi.
Wanatakiwa wanyamaze kabisa.
Naomba tukutane nao tuwanyooshe
 
Kwa hiyo na Bayan alipo tolewa na Man city kwenye UEFA basi Bayan ni timu ndogo sio?
Kwa hiyo Simba unaifanisha na Bayern timu ambayo kwenye soka la ulaya ina rekodi lukuki ikiwa ni pamoja na kubeba makombe ya UCL zaidi ya mara 5 imeshacheza cheza fainali mara nyingi tu. Sasa wewe Simba nafasi kubwa ni QF mmetolewa halafu unasema mmeonesha ukubwa ndio mimi nataka kujua mmeonesha ukubwa gani?
 
Hayo mashindano ambayo Simba ametolewa kwenye hatua ya robo fainal tena na Widad timu ya pili kwa ubora barani Afrika, ndo hayo hayo ambayo utopolo alitolewa raundi ya kwanza tena na kitimu cha hovyo kutoka kwenye nchi yenye vita.
Punguza muwasho kwenye jicho lako la nyuma wahuni wasije kukushuhgulikia.
Hii ndio faraja pekee mlio baki nayo
 
Unaweza vipi kusema wewe ni mwanaume wakati kwanza tulikutoboa viwili na saivi una kitumbo soon unajifungua pili umekutana na timu dhaifu huko shirikisho huoni aibu mzee.
Muungwana akivuliwa nguo huchutama. Unachojaribu kufanya wewe ni kumkimbiza aliye na nguo zako. Hakuna point dhaifu kwente mpira kama kusema sijui timu dhaifu na hata kama tukiamua kusema ivyo jilinganishe wewe ulokutana nao kuanxia hatua za mwanzo wale kina Nyassa sijui premeiro de Agosto wakaja kina Vipers mara Horoya then waweke chungu kimoja na aliyenitoa mimi Al Hilal najua moyoni mwako mwenyeww unakiri hawawezi kukaa chungu kimoja hawa. Kwa hiyo hiyo point ya timu dhaifu toa umezidiwa mpira kaa kimya subiri msimu ujao
 
Umecheza na timu kubwa moja tu, Wydad kule ulipita kwa vitimu kama Nysa Bug bullet ukajiona bingwa sana, ukapita kupitia Vipers, Sasa robo ndio haki yako huko nusu waachie timu kubwa
Asante mkuu hawa jamaaa wanapenda kujisifu wamekutana na timu kubwa kubwa, hebu waje waseme hapa timu kubwa kubwa zipi wamekutana nazo wakafunga mpaka wakafika robo
 
Simba katolewa na bado unasema kaonesha ukubwa? Ukubwa which? How? Who?
Kweli Yanga hamnazo ...hebu angalia timu tulizocheza nazo hadi kufikia hapa! Kumbuka Simba ipo kwenye 10 ya Africa na Ndio hao wameingia robo fainali !
Sasa utalinganishaje naFC Bamako,Rivers(wanadunfuliza nauli kuja tz)TP Mazembe iliyochoka...Monastery ...Timu pekee mliyoifunga na wanasoka tukaelewa angalau ni Club Africane
 
Asante mkuu hawa jamaaa wanapenda kujisifu wamekutana na timu kubwa kubwa, hebu waje waseme hapa timu kubwa kubwa zipi wamekutana nazo wakafunga mpaka wakafika robo
Petro ,Horoya ,Raja,Vipers( kiboko yenu)...
 
Umecheza na timu kubwa moja tu, Wydad kule ulipita kwa vitimu kama Nysa Bug bullet ukajiona bingwa sana, ukapita kupitia Vipers, Sasa robo ndio haki yako huko nusu waachie timu kubwa
Wazee wa in and out river united waliwanyumbua vilivyo na round mkafurahi kuwafunga zalan lakn kilichowakuta mnakijua na mpaka muda cjui timu ilyowatoa CAFCL yaan n muda sanaa
 
Daaah, ngoja niteremke moja kwa moja kwenye point,,
Simba alipokuwa cafcl maneno yalikuwa mengi sana, sasa nasubiri muongee na sahivi niwasikie,
NASEMA HADI FA HAMTAPATA YAANI MTAKANDAWA POTE POTE MKIVUKA AZAM FC MNAKUTANA NA MWENYE KUU YA JANGWANI YAANI MTAPOTEANA MPAKA MSEME JINA LA UTOTO LA PROF.NABI
Naunga mkono hoja
 
Kweli Yanga hamnazo ...hebu angalia timu tulizocheza nazo hadi kufikia hapa! Kumbuka Simba ipo kwenye 10 ya Africa na Ndio hao wameingia robo fainali !
Sasa utalinganishaje naFC Bamako,Rivers(wanadunfuliza nauli kuja tz)TP Mazembe iliyochoka...Monastery ...Timu pekee mliyoifunga na wanasoka tukaelewa angalau ni Club Africane
Kwenye hiyo unayoita top 10 Mazembe wako nafasi ya ngapi ewe Dunduka? Kama Mazembe wamechoka imekuwaje wakawa miongoni mwa timu bora? Wewe hujakutana na timu bora yoyote ile kuanzia hatua za awali, Nyasa nayo ni timu? Umeshinda ugenini mechi moja na Wachovu Vipers
 
Hayo mashindano ambayo Simba ametolewa kwenye hatua ya robo fainal tena na Widad timu ya pili kwa ubora barani Afrika, ndo hayo hayo ambayo utopolo alitolewa raundi ya kwanza tena na kitimu cha hovyo kutoka kwenye nchi yenye vita.
Punguza muwasho kwenye jicho lako la nyuma wahuni wasije kukushuhgulikia.
Umelooowa. Pole najua hapo ulipo roho inakuuma ile mbaya. Ila na nyie muachage kidomofomo kama mataya wa kwa saloon ya Mama Kimbo, shombo nyiingi
 
Muungwana akivuliwa nguo huchutama. Unachojaribu kufanya wewe ni kumkimbiza aliye na nguo zako. Hakuna point dhaifu kwente mpira kama kusema sijui timu dhaifu na hata kama tukiamua kusema ivyo jilinganishe wewe ulokutana nao kuanxia hatua za mwanzo wale kina Nyassa sijui premeiro de Agosto wakaja kina Vipers mara Horoya then waweke chungu kimoja na aliyenitoa mimi Al Hilal najua moyoni mwako mwenyeww unakiri hawawezi kukaa chungu kimoja hawa. Kwa hiyo hiyo point ya timu dhaifu toa umezidiwa mpira kaa kimya subiri msimu ujao
Sawaaaa mnaongea sana mnachukua kombe
 
Back
Top Bottom