Tutajie hizo timu kubwa mlizocheza nazo, hadi kufika makundi, kama sio vitimu vya ajabu ajabu tu.Kweli Yanga hamnazo ...hebu angalia timu tulizocheza nazo hadi kufikia hapa! Kumbuka Simba ipo kwenye 10 ya Africa na Ndio hao wameingia robo fainali !
Sasa utalinganishaje naFC Bamako,Rivers(wanadunfuliza nauli kuja tz)TP Mazembe iliyochoka...Monastery ...Timu pekee mliyoifunga na wanasoka tukaelewa angalau ni Club Africane