Tutajie hizo timu kubwa mlizocheza nazo, hadi kufika makundi, kama sio vitimu vya ajabu ajabu tu.Kweli Yanga hamnazo ...hebu angalia timu tulizocheza nazo hadi kufikia hapa! Kumbuka Simba ipo kwenye 10 ya Africa na Ndio hao wameingia robo fainali !
Sasa utalinganishaje naFC Bamako,Rivers(wanadunfuliza nauli kuja tz)TP Mazembe iliyochoka...Monastery ...Timu pekee mliyoifunga na wanasoka tukaelewa angalau ni Club Africane
huruma
Huwaonei huruma mkuu!?Naomba tukutane nao tuwanyooshe
Kwani Simba echukuwa kombe gani ambalo timu zingine hawana?Unaongea Pumba Kwanza wewe hujacheza na timu kubwakubwa Afrika wakati Simba inabattle na hizo timu.
Petro, Horoya na Vipers tupa kule kubwa hapo ni Raja tuuPetro ,Horoya ,Raja,Vipers( kiboko yenu)...
A nimekumbuka kumbe siku Ile Kuna mtu alitanguliaHuwaonei huruma mkuu!?
Watu wanapoteza maisha ujue!!
Mungu aepushie mbali. Tunaumia watu wanapopoteza maisha.
Ukubwa kushinda kombe la robo fainali?Mlipigwa ndoige asubuhi tu mkaaga mkutano, hamna timu ya kufika japo makundi klabu bingwa, Simba ameonesha ukubwa wake
Hatari sana mkuu.A nimekumbuka kumbe siku Ile Kuna mtu alitangulia