Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

Wiki ijayo natoa connection yangu kaeni mkao wa kula.........








Nikitembea barabarani.
 
vijanaa wa ovyoo mnooo πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ ninachopenda pilau za kiswahili yani huwa ni motoooo..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nazipenda za Kenya, kuna lafudhi fulaani ina amsha amsha, woiiiiiiiiih.

Ngoja niende chimbo nkadake ubuyu mwingne. Naona kumenogaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mange ana hatareee, uwiiiiih.
kuna siku atapost mjengo wa maana kwa 1000 zetu labda kama hana akili ila sio kwa yule mparee..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nazipenda za Kenya, kuna lafudhi fulaani ina amsha amsha, woiiiiiiiiih.

Ngoja niende chimbo nkadake ubuyu mwingne. Naona kumenogaa
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Connection zinaondoa stress. Acheni kujichukua video na App ya Mange itakufa yenyewe tu. Ukikata mirija ya connection baaaasi. Dawa ni kutojirecord so Mange atakosa raw marterials na kiwanda chake kitakufa.

Connection za mange hazivujishwi, zinanunuliwa.. Hii tu inaweka hatari kwa kila mtu maana leo hii ni wachache wana_date na mtu anaemjua muda mrefu. Watu wanaokotana na kubebana,

Jiulize kwa hali hii, mtu akispend laki mbili kwako, akaenda uza connection kwa mange ili apate let's laki tano. Huoni inatoka kwenye kuvujisha kwenda kwenye biashara, yaani inshort tunaanza kuwindana
 
Kuna watu wa ufipani na wanaharakati walishampa kichwa lwa kumpa jina la Dada wa taifa.

Enzi ya Mwendazake ilikuwa tukimpimga,ila wao ndio huwambii kitu "Da Mange kasema hivi........ Da Mange kasema vile........",kwa kifupi walimsifia sana kapitiliza kwao na leo ana watusi wao wenyewe na baadhi ya maslay queen na wanawake.

Pamoja ndio dada zetu wengi hawaja tulia ila haiwaondolei utu wao na haki yao ya kuheshimu faragha zao.
 
Ila mtu ambae baba yake alifanyiwa ufirauni, akadhalilika kiasi kile unadhani ana utu,, hana Cha kupoteza anahisi kwa kufanya hivyo anapunguza machungu ya kile alichotendewa baba yake mpk akajiua
 
Dah kweli mwana umeona mbali sasa nikuwindana tuu. Jamani tahadhari warembo savannah zitawaponza sana.

Hawa warembo wa telegram sasa naona watakuwa na offa lukuki za threesome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…