ok.Tuhuma hizo kazitoa dakika kama 18 zilipita kupitia mtandao wa X akidai kuwa Lema hatuko mae tena(sio mwenzetu).
Hiyo clip ina tuhuma nyingi na zinazogusa watu wengne kwahiyo siwezi kuiweka hapa kwani mambo ni mengi.
Tusubiri kusikia Lema atajibu/atasema nini kuhusu tuhuma hizi.
Ndo unasema ndogo? Haya tukutane kwenye uzi wa mshahara wa january vipi🤣🤣 hapo exclude chakula.
Kama huwezi kuweka hapa, bc weka humu 🗑️Hiyo clip ina tuhuma nyingi na zinazogusa watu wengne kwahiyo siwezi kuiweka hapa kwani mambo ni mengi.
Ni tapeli yule, hata ukimsikiliza huwa anajifanya smart kichwani kumbe mjinga tu na tamaa zimemjaa...Lema naye snitch tu. Kaulizwa yeye kakimbilia kumuattack Heche na passport yake.
Tuhuma hizo kazitoa dakika kama 18 zilipita kupitia mtandao wa X akidai kuwa Lema hatuko mae tena(sio mwenzetu).
Hiyo clip ina tuhuma nyingi na zinazogusa watu wengne kwahiyo siwezi kuiweka hapa kwani mambo ni mengi.
Tusubiri kusikia Lema atajibu/atasema nini kuhusu tuhuma hizi.
Moderator msiweke hiyo clip hapa, taarifa hii inatosha.
Siku zote alikuwa wapi kutoa hizo shutuma?
Ugonjwa mwingine unaowakabili watanzania ni huu wa Dada Mange Kasema.
Ukiona wanaomtetea ni chawa wa Samia elewa kwamba hizo tuhuma ni za ukweli, bwashee ameshafika bei.Tuhuma hizo kazitoa dakika kama 18 zilipita kupitia mtandao wa X akidai kuwa Lema hatuko mae tena(sio mwenzetu).
Hiyo clip ina tuhuma nyingi na zinazogusa watu wengne kwahiyo siwezi kuiweka hapa kwani mambo ni mengi.
Tusubiri kusikia Lema atajibu/atasema nini kuhusu tuhuma hizi.
Moderator msiweke hiyo clip hapa, taarifa hii inatosha.
Lema juzi aliyachota machoko Kwa kuyadanganya kuwa eti Heche alipata passport baada ya kuwasiliana na Boss wa usalama, lakini Leo akijibu swali la katuga, Heche amesema passport yake alipewa baada ya Mwanasheria Nshala kuwaandikia uhamiaji barua na Afisa uhamiaji aliyempatia hiyo passport anaitwa maharani. Sasa lema tuambie story yako kuwa Heche alipewa passport yake baada ya kuwasiliana na Boss wa usalama ulizitoa wapi? Otherwise tutakufurusha muda sio mrefu ukaungane na machoko ya ccm shenzi wewe.Tuhuma hizo kazitoa dakika kama 18 zilipita kupitia mtandao wa X akidai kuwa Lema hatuko mae tena(sio mwenzetu).
Hiyo clip ina tuhuma nyingi na zinazogusa watu wengne kwahiyo siwezi kuiweka hapa kwani mambo ni mengi.
Tusubiri kusikia Lema atajibu/atasema nini kuhusu tuhuma hizi.
Moderator msiweke hiyo clip hapa, taarifa hii inatosha.
Ndivyo wasemavyo UVCCM sasa kama unawabishia hiyo ni shauri yako, Lema ana uhalali wa kuishi maisha ya kutumia hata a million per day lakini Heche hastahili hata kumiliki gari zuri.Hahaaa leo Lema ni mkulima ila Heche sio mkulima.
Ccm inamilikiwa na wafirajiMange kwa sasa ndo mmiliki wa CHADEMA baada ya kumuondoa Sultani Mbowe. Acha awapelekee moto hao nyumbu.