Mange Kimambi amtuhumu Lema kuishi sea cliff kwa miezi miwili sasa

Aisee! Alafu kuna prophecy ya nabii mmoja juu ya hili and I feel bad kama ndio inaenda kutokea kwa Lema!! Kama unabii ule ni kweli means haitaisha vizuri kwake!

Hizi siasa hizi, bora kukaa nazo mbali na hasa kama utajipambanua kusimama na Mungu alafu ukiuke kiapo ulichomuapia kwa public haiwezi kuisha vizuri.
 
Chadema si walikuwa wanamkenulia meno huyo Mange Kimavi? Sasa amewapanda kichwani na kuanza kuwanyea! Aliyezoea vya kunyonga hawezi vya kuchinja!
Na wewe ushaanza kuwa na akili za kizezeta kama za dada Ako Tlaatlaah kwa hiyo unashindwa kutofautisha kati ya Mwanaharakati na mwanasiasa??

Au hujui kama huyo mange ni mwanachama wa CCM alishagombea nafasi ndani ya chama cha CCM?
 
Shemeji y yangu tayari kafika bei.
 
Bado kidogo utamtaja na Lissu ni TISS. Nashukuru mimi tokea sakata la Dr Slaa wakati mnampokea Lowasa sikuwahi tena kushiriki party politics ni uzalendo kwa nchi tu. Mimi zile drama ndio zilinifungua macho na sijawahi tena kubeba Chama kichwani zaidi ya uhalisia
 
Kuna ukweli kwamba ndugu wa Lissu kaka zake na dada zake wanaishi seacliff hotel na kulipiwa na Samia na Abdul kwa miezi miwili sasa ili wampe pressure Lissu afikie maridhiano?

Kuna ukweli kwamba Lema amewahakikishia Samia na Abdul kwamba Heche ndio kikwazo kikuu wakimtoa Heche, chadema itaenda kwenye maridhiano?
 
Siasa siasa siasa.........!!!!
 
Siasa ni biashara kama zilivyo biashara nyingine tu,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…