Mange Kimambi amtuhumu Lema kuishi sea cliff kwa miezi miwili sasa

Hili wamejikausha kama hawajalisikia wapika majungu wa Lumumba na ndugu zao waliokimbilia Chauma. Viwanda vya uongo(kwa sauti ya JK)
 

Haswaaa.
 
Alikuwa wapi siku zote kusema haya?!
Pamoja na kutoshabikia taarifa za aina hiyo anazotoa huyo Binti; lakini pia kuna msemo stakiki kabisa kwamba kila jambo lina wakati wake.
Haijalishi limetolewa lini; bali kama lina uhusiano na hali iliyopo wakati huu ndiyo ikawa wakati sahihi wa taarifa kama hiyo.
 
KUNA MIGONGANO YA KIMASLAHI KATI YA LEMA NA HECHE WOTE WAPO NDANI KABISA YA CHAMA,WANA SOURCES ZOTE ZA KILA KINACHOENDELEA NDANI YA CHAMA,KILA NENO LA MMOJA WAO KWA MWINGINE NI KWELI TUPU,
MANGE / HAWEZI KUWA NA INFOS SAHIHI ZA KIPI KIPO NDANI YA CHAMA.KWA WAKATI HUU.
 
HILO LINAJULIKANA KWA MAANDISHI YA JUZI TUHUMA ZAKE YEYE HALAFU ANAMUHISHA HECHE HAPA NILIGUNDUA LEMA AMECHUKUA PESA KWA SAMIA
Ni kama Lema anajua wanaomtuhumu wanatumwa na Heche au ni wapambe wa Heche.

Kwa hiyo ana-react kwa ku-expose ya Boss wao.

Ni sawa tu na Lisu kugombea uenyekiti baada ya kugundua kaletewa Wenje kumtoa kwenye umakamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…