Mange Kimambi amuandikia ujumbe mzito kaka yake aliyekutana na kupiga picha na Paul Makonda

Hahaha nahisi mange huwa ana external hard disk 1tbyt imejaa uongo wake staki kuamini kama huwa anadeleti vitu ukikosana nae tu anatoa na caption zako hadi picha
 
Hahah eti guest house anaita hotel..!!! Kama ndugu zake wameanza kumkimbia na kumtenga kwenye Mali inabidi ajitafakari upya..huo ni mwanzo tu..kisha anadhani alivyokamata akili za nyumbu basi atakamata hadi akili za ndugu zake..wanajielewa..asiwatishe kwa Mali..kama ye mwanamke kweli akanyage JNIA kama atafika hata tazara..tena ndugu zake wala wasimjibu waendelee kula Mali za baba..yeye si anakula Mali za chadema
 
"Hii inaitwa 'blackmail' na ni kosa kubwa kisheria.
Pia ni kinyume cha demokrasia na haki za kikatiba kumlazimisha mtu akuunge mkono kwa vitisho".

Mbona 'Just Praise Me' ndio mbinu anayoitumia hamuwaki? Hadi watu wanahama vyama hamsemi kuwa "blackmail."
 
for sure wema sepetu amenishangaza na post yake, yani huyo mwanamke ni ngazi kila mtu anamtumia
 
This is completely bullshit!!! Familia gani inawasiliana kupitia social media?? Hawezi kumwandikia hii barua kimyakimya!?
Sasa wewe na familia yako mtawasiliana kuhusu nini?

Mna kajumba hata ka milioni kumi mjini hapa?

Ufukara wenu usiufananisha na kila mtu.
Kama umeanza kumjua Mange leo bado nenda kwenye archives kwanza
 
Excatly my point.
Mbona sasa Mange, mwanaharakati wa demokrasia na uhuru wa kujieleza naye anafanya mambo kama ya huyo "Just Praise Me" wako?
Keshakuwa kama yeye!!
 
Sijaumia siko kwenye level ya kuumia tena ila nimekukumbusha tu... Tafakuri juu ya imani yako... Haya mengine yote ni ya kupita... Kumbuka wakati si milele... Na kila jambo lina majira yake
Mkuu,tunahtaji watu wenye hekima kama ww!
 
Sure kabisa mkuu the late mzee kimambi alifariki 2004 Cyprian yeye anasema ni 2009 yani unaitisha press kuongea vitu usivyovifahamu
 
Excatly my point.
Mbona sasa Mange, mwanaharakati wa demokrasia na uhuru wa kujieleza naye anafanya mambo kama ya huyo "Just Praise Me" wako?
Keshakuwa kama yeye!!
Umenishinda tabia....[emoji23][emoji23]. Amemuiga mkuu. Peace ma man.
 
Wema kwa vile umemvuruga vuzi dada Mange.
Sasa mwambie huyo anil aanza kujiandaa kutoa share ya mil 400
Halafu huyo Anil ana shati moja au mashati mengi ya rangi moja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nawaza tu interval ya wakati picha zinapigwa [emoji41]
 
Eti she will never?
Yani wewe ndio mpumbavu kuliko wqpumbavu wote Tanzania.

Unadhani hiu utawala dhalimu utakaa madarakani miaka yote?

Kwa vile mnaua watu, mnaonea watu.
Mna dhambi nyingi sana. Sasa wewe Lumumba na akili zako mgando umeshajiaminisha kuwa nchi ni ya mumeo bashite hutoamini wakianguka wote kama maembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…