Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah eti guest house anaita hotel..!!! Kama ndugu zake wameanza kumkimbia na kumtenga kwenye Mali inabidi ajitafakari upya..huo ni mwanzo tu..kisha anadhani alivyokamata akili za nyumbu basi atakamata hadi akili za ndugu zake..wanajielewa..asiwatishe kwa Mali..kama ye mwanamke kweli akanyage JNIA kama atafika hata tazara..tena ndugu zake wala wasimjibu waendelee kula Mali za baba..yeye si anakula Mali za chademaMali zenyewe za urithi huyu mwehu anatujazia server kwa ujinga wake,kakazana 25% utadhani kawekeza,kwanza hiyo hoteli ni makazi ya popo na bado TRA inawadai,kwa sisi waafrika mtoto wa kike hana chake katika mali za urithi hata akiwa mkubwa yeye asubiri mgawo kutoka kwa wadogo zake wa kiume.Akizidi kuhamasisha maandamano tutaanzia kubomoa hayo magofu yao ya urithi hapo ndio atajua umuhimu wa amani,anadai hayo magofu sababu ya nchi ni salama .
"Hii inaitwa 'blackmail' na ni kosa kubwa kisheria.Zawadi,
Mwambieni Mange kuwa kuandamana au kutokuandamana ni haki ya kidemokrasia.
Kila raia ana uhuru na haki ya kuamua akitakacho, kuchagua marafiki na kufungamana na mlengo wowote wa kiasiasa anaoona unamfaa.
Ni haki ya msingi kila raia kuchagua au kuchaguliwa kuongoza. Na ni uhuru binafsi wa yeyote kuchagua kiongozi wake.
Hiyo ndio demokrasia.
Alichofanya ni makosa makubwa. Kutangaza maswala binafsi ya ndugu hadharani ili kuwatishia wamuunge mkono katika harakati zake ni makosa makubwa. Hii inaitwa 'blackmail' na ni kosa kubwa kisheria.
Pia ni kinyume cha demokrasia na haki za kikatiba kumlazimisha mtu akuunge mkono kwa vitisho.
Je hapo Mange ana tofauti gani na anaowapinga?
Ndio wale wale and the same bullshit.
Na kuna jambo jingine linaloibuka hapa..Mange yuko tayari kuficha maovu na kusapoti uvunjaji wa sheria ilimradi tu hao wavunja sheria ni ndugu wanaomsapoti. Huu ni uhalifu.
Kama hao ndugu zake, kama kweli wamevunja sheria basi alipaswa kuwachukulia hatua na sio kusubiri hadi watakapotofautiana mitizamo ya kisiasa. Sasa Mange akiwa kiongozi si ndio atakuwa dikteta mbaya anayelazimisha nchi nzima iwaze kama yeye na kufuata anachotaka tu?????
Rafiki zake pia wajifunze. Siku wakiacha kumsapoti atamwaga siri zao zote hadharani na kuwasababishia matatizo kibao.
Mwenye akili na asikie.
Cheki huyu naye unachukia kwani na wewe una shea kwenye ukoo wa Kimambi.
Sasa wewe na familia yako mtawasiliana kuhusu nini?This is completely bullshit!!! Familia gani inawasiliana kupitia social media?? Hawezi kumwandikia hii barua kimyakimya!?
Excatly my point."Hii inaitwa 'blackmail' na ni kosa kubwa kisheria.
Pia ni kinyume cha demokrasia na haki za kikatiba kumlazimisha mtu akuunge mkono kwa vitisho".
Mbona 'Just Praise Me' ndio mbinu anayoitumia hamuwaki? Hadi watu wanahama vyama hamsemi kuwa "blackmail."
Wema kwa vile umemvuruga vuzi dada Mange.
Mkuu,tunahtaji watu wenye hekima kama ww!Sijaumia siko kwenye level ya kuumia tena ila nimekukumbusha tu... Tafakuri juu ya imani yako... Haya mengine yote ni ya kupita... Kumbuka wakati si milele... Na kila jambo lina majira yake
Haya.Kweli nyani halioni kundule na kumtukani ukibonge wake le mbululazi kumbe na yeye anakibonge kipo kimekaa ndani
Mtakufa nyie na kumwacha akiishi nyambafuHuyu da'Mange ni limbukeni tu. Hana lolote zaidi ya kupewa bichwa na mazuzu wenzake. Akafie mbele huko.
Sure kabisa mkuu the late mzee kimambi alifariki 2004 Cyprian yeye anasema ni 2009 yani unaitisha press kuongea vitu usivyovifahamuNilishangaa sana milipomsikia Musiba akidai eti Mange anatumiwa na kitengo cha Ujasusi cha Marekani.
Kitengo cha Ujasusi cha Marekani hakiwezi kumtumia mtu ambaye haeleweki eleweki kifikra (unsound mind)
Mtu ambaye kesho akiamka kivingine anaanza kutoa siri zote ulizompatia.
Kuna siku hata wanasiasa wa Tanzania wanaomtumia atakuja kuwaanika pamoja na mawasiliano yao.
Umenishinda tabia....[emoji23][emoji23]. Amemuiga mkuu. Peace ma man.Excatly my point.
Mbona sasa Mange, mwanaharakati wa demokrasia na uhuru wa kujieleza naye anafanya mambo kama ya huyo "Just Praise Me" wako?
Keshakuwa kama yeye!!
PeaceUmenishinda tabia....[emoji23][emoji23]. Amemuiga mkuu. Peace ma man.
Ulichokiandika ww c'yo kwaajili ya burudani ila ulikusudia kumdhalilisha Mange...that is the only truth!Amina Amina AMINA
KUMBUKA HUMU NI BURUDANI PIA..
Mr. Django, uhuru wa kutoa maoni uko kaziniThis is completely bullshit!!! Familia gani inawasiliana kupitia social media?? Hawezi kumwandikia hii barua kimyakimya!?
Halafu huyo Anil ana shati moja au mashati mengi ya rangi moja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nawaza tu interval ya wakati picha zinapigwa [emoji41]Wema kwa vile umemvuruga vuzi dada Mange.
Sasa mwambie huyo anil aanza kujiandaa kutoa share ya mil 400
Eti she will never?This bitch is a fucking lunatic. Eti ataenda mahakamani ili wampte share yake! Mahakama ipi in the US inasikiliza civil disputes za foreign country. Anajua fika kwamba she will never ever board a flight bound to Dar as long as CCM ni chama tawala, and no wonder the so called "ndugu zangu" wanajifanyia wanayo taka bila kumwambia. Matter of fact, wanajuta kuzaliwa na kituko kama yeye, aka Dr. Mange K.