Mange Kimambi: Paula Kajala hajaenda Uturuki kusoma, anafanya kazi Airbnb

Library reveals.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaah
 
Social media kuna fake life sana [emoji1787]kila mtu katusua

Kila mtu anaenda vacation Dubai kazi anazofanya hazijulikana
 
Mbususu si yake nyie mnapata shida gani.Mwacheni dogo atoe apendavyo na hata kale kamtandao aruhusu network
 
Mnyakyusa Raymond anachapiwa na ada atatoa
Acha wamfaidi, uchi kala sana sasa acha na yeye agharamie shule. Hii inaitwa kula na kulipa.

Wanachapiwa watu wake zao wanaowagharamia kila kitu na wanagharamia familia zao, kuchapiwa kupo tu.
 
Hii mbona kama photoshop?
Ukiangalia hiyo picha vizuri ni kama imekua edited
Kuna video clip, hata ingekuwa hasomi kweli they couldn't go to that extent ya kudanganya kwa kutumia photoshop images, that can easily be exposed.
Kuna video clips You Tube hata hiyo nimekutana nayo huko, mimi sina IG wala FB accounts. Ipo clip yupo class mpaka lecturer anamuita jina ni kwamba aliipost na hizi online TV channels zikaichukua na kuirusha.
Mange ameingizwa chaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…